Wanajamii,leo tunaangalia kwa kifupi,process muhimu zinazowezesha PC or any device to access webpages
Mawasiliano ya internet yanatumia ip address,hivo kila websites inakuwa na ip address yake...
The temperature inside your car can get insanely hot on sunny days, regardless of the temperature outside. When you get to your car and it's boiling hot, what's the first thing you do? You lower...
wadau habari
kuna video nime edit ya muda wa dakika 18,lakini wakati naisave file limekuwa kubwa mno yaani limefika size 3.82gb.
Ni muunganiko wa mafile mawili moja ukubwa wake ni 52.6mb na...
niko na modem ya vodafone hapa wakuu kila nikiunganisha inakubalikuunga ile inadai no internet access! nimejaribu kutrableshoot naamimbiwa "windows cannot access the resourse" nimekwama mwenye...
Naombeni msaada wenu mimi natumia samsung sgh-j700i simu ina internal memory ya mb 10 lakini sasa hivi zimepungua hadi mb 4. Sasa sijui tatizo nini ,nimejaribu restore factory settings bila...
Jf Members,
Natafuta berti ya computer SONY model no. VGN-C13L
Sony Rechargeble Battery Pack VGP BPS2C 11.1v/5,200mAh Li-ion,
Kwa anayejua tafadhali msaada kwenye tuta
betri imekufakabisa...
35 years later, Voyager 1 is heading for the starsBy ALICIA CHANG | Associated Press 19 hrs ago
Share7
Email
Print
Enlarge PhotoAssociated Press/NASA - This artists rendering...
Yani hata cjui imekuaje nashangaa kuona mandishi yamekuwa Italic kwenye Chrome, IE, na baadhi ya program. Naomba mnisaidie kuttatua hili tatizo. Nimeambatanisha picha.
Msaada jamani.
hello people..asee wakubwa ili swala linaniboa kweli an..modem huawei e153 airtel inajidisconest yenyewe after few minites..Atleast u can tell me why inajidisconect yenyewe n hw to solv tatizo if...
Heshima mbele wakuu natafuta movie hiyo kwa udi na uvumba yeyote anayejua maujanja ya kuidownload bure anipe msaada plz.
Natanguliza asante zangu​
habari jf!
Kwenye moja ya bundle za tigo kuna specification ya amount ya data itayotumiwa kwa facebook,swali ni je wana control vipi ile amount itumike kwa facebook na si website nyingine?
Wakuu, Hii modem inanitatiza coz nimejaribu connect mitandao ya Airtel na Vodacom lakini inaleta pop-up message "Dial up failed". Cha kushangaza service nyingine kama USSD codes, SMS, Kupiga au...
Wakuu wajuvi wa jamvi hili, salaam!
Naomba msaada wa kitaalamu. Kuna PC yangu (Desktop) inanizingua sana.Tatizo lililopo ni kwamba, ninapoiwasha na ku-chomeka Modem, huwa ina-restart yenyewe...
Ofisi ya NSSF imekuwa ikifanya kazi kijima zama hizi za ICT. Huduma ndogo tu kama kuangalia statement ya mafao yako mpaka uwafuate ofisini kwao. Na Huko ofisini ni Dharau tupu. Kwa mfano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.