Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wakuu naombeni mwenye key za IDM au thread humu jamvini inayohusu IDM mrenew maana idm yangu imepiga chini!!!!pleeeeeeeeeeeeeeeaaaaaase!!!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimenunua IPad 3 lakini nikitaka kudownloads program zinataka nijaze visa Kadi kwenye Itune, je kuna njia nyengine ya kupita??
0 Reactions
8 Replies
1K Views
I have a brand new Dell Optiplex 380 desktop that can't connect on Local Area Connection mode. I've installed and re-installed the provided CDs but still the problem persist. When I use airtel...
0 Reactions
3 Replies
726 Views
Natafuta power supply ya Dell dimension E 520 (SATA) kwa yeyote aliyenayo au wapi naweza kuipata Natanguliza shukrani.
0 Reactions
0 Replies
757 Views
Wapendwa katika JF, habari za Muda huu! Kutpitia JF naomba mwenye ramani ya Nyumba ya kisasa Self Contained designed kwa ajili ya Familia yaani 3 Bedrooms Rooms (1 Room ikiwa ni master Bed room)...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Ninatafuta betri ya laptop TOSHIBA SATELLITE A205-S5804 SYSTEM UNIT.Iwe Moshi au Arusha.
0 Reactions
0 Replies
895 Views
wakuu nina toshiba yangu ina ram 3, hdd 320, nataka kuiweka window 7 ultimate na ubuntu kwa pamoja. Kama inawezekana naomben hatua za kufuata.
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za leo wakuu,nimekuwa nikiziona IPAD 1 IPAD 2 watu wanazitumia sijajua sana zinafanyaje kazi hasa upande wa kupata INTERNET. Mimi nakaa nje sana na mji na ninataka kununua IPAD huku...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Wadau hebu nisaidieni kwa maana nimeshachoka hawa mafundi wa Zuku kila leo nawaita kurekibisha tatizo la no signal mpaka nimewachoka kwangu Zuku ni kama Tanesco leo nipate signal baada ya dakika...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
KITUO CHA UTANGAZAJI CHA ITV, NI LINI KITAOA KINGAMUZI CHAKE? KWANI WANATANGAZA HATIMA YA ANALOG LAKINI HAWATANGAZI NILINI WATATOA KINGAMUZI CHAO.:focus:
1 Reactions
37 Replies
5K Views
Waheshimiwa kwa wale wanaosumbuliwa na mbu nyakati za usiku, kuna habari njema ya kufurahisha ambayo nimeikuta mtandaoni. Jaribu nawe upitie HAPA. KAMPUNI ya Samsung Tanzania, imezindua...
0 Reactions
27 Replies
39K Views
Hi wandugu, hope mko poa. Mwenzenu leo siku ya tatu my samsung laptop zile ndogo zile, inachelewa kuwaka! Na ikiwaka haidisplay chochote! Wat cud b the problem? Nifanyeje? Natanguliza shukrani.
0 Reactions
2 Replies
788 Views
Kwa mara ya mwisho niliwaskia wanasema wanasimika mitambo kwa kila mkoa hiv wamefikia wap na kwa wale waliokwishanunua vin'gamuzi bei gani jama mi nipo iringa.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Inawahusu wenye HD receiver FTA Eutelsat 36e {11919H27500} pata ss3HD na mntHD changamuka FTA wajanja wa kuchakachuwa pata HD zote bila chenga
1 Reactions
9 Replies
2K Views
nimepitia threads zilizopita hum jamvini zinazohusu idm na windows 7 lakini wameshatoa link za kuactivate windows 7 na idm keys kila nikiziweka bado inaniambia muda wake umeisha, msaada wanaJF
0 Reactions
3 Replies
1K Views
nimeweza kudownload operamini version 4 mbili tofaut kwenye mchina tecno T451, na iko poa kabisa,ushauri kama itadhuru cm au lah!
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakubwa nilinyonya setup za hili game na kuweka kwenye flash yangu kutoka kwenye pc ya rafiki yangu. sa tatizo linakuja ninapotaka kuliinstall katika laptop yangu. Kila linapofikisha 76%...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Sitaki kusema mengi ila hii video yenyewe itajieleza. Tanzania tupo nyuma sana kwenye sanaa ya filamu...tuna mengi sana ya kujifunza kwa hawa jamaa hasa kwenye swala motion graphics. Feel the...
4 Reactions
46 Replies
4K Views
Wana JF nisaidieni kutambua hii namba imekuwa ikiita katika simu yangu tangu jana!+971557728641
0 Reactions
4 Replies
1K Views
naitaji software ya kuhack facebook alienae anitumie hapa samrichyoungboy20@gmail.com na kama una software au link za kucheki TV online hasahasa mpira SHUKRANI
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Back
Top Bottom