Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
WANA JAMVINI NAPENDA KUWASHIRIKISHA KWA HILI. MITANDAO KARIBU YOTE YA SIMU TANZANIA IMEKUWAINAWALAZIMISHA WATUMIAJAI WA BLACKBERRY KUNUNUA VIFURUSHI VYA INTERNET KWA GHARAMA KUBWA .HAKUNA HAJA YA...
1 Reactions
16 Replies
6K Views
wakuu naombeni msaada wa prodct keys za win7, kuna ujumbe umetokea hapa unasomeka "window is not genuine" and it command me to enter window's product keys. natanguliza shukrani.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
wadau mie natumia nokia C6-01, tatizo inakuwa online wakati wote, anaejua setting anisaidie.
0 Reactions
7 Replies
900 Views
Kama kuna kwenye hizo serial number msaada please
0 Reactions
87 Replies
9K Views
wakuu nina simu aina ya mi a300,umts 850/1900/2100mhz,hsdpa max speed 7.2mbps, os android v2.2, 2mp and display tft capacitive touch screen 256k colours...matatizo ni nikitoka kwenye 3g network...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Anaejua jinsi ya ku update msaada
0 Reactions
5 Replies
1K Views
natafuta simu inayosuport window 7 ni sim gan?
0 Reactions
2 Replies
766 Views
Kuna this site nilitumiwa link na my friend kuhusu kukamata mikwanja flan kutokana nakushare link, kwa wakuu waliojaribu vipi wanalipa kweli au ni ma fraud tu? for those who havent checked, link...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hey, computer yangu imepoteza sauti baada ya kupata shock ya umeme, nw cpati sound kabisa nmechek program za saut znarun vzuri haionyeshi km kunatatizo nmejaribu kubadilisha sound card lakini...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
A robot called Cheetah has set a new world speed record for legged robots, running faster than the fastest human. The headless machine, funded by the Pentagon, reached 28.3mph (45.5km/ h) when...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
sasa wataalamu, me nina tatizo kompyuta yangu ndo hvo na ina model hyo hapo, naomba mnipe jinsi ya kupata screen mpya hapa nchini kwetu na bei pia.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu sites gani naweza pata na kusoma online vitabu vya erick shigongo???
0 Reactions
11 Replies
32K Views
je unahtaji kupata free dstv channels kupitia zukudish,au c band dish? Au unahtaji kupata free internet...thru code flan flan kweny browser yako?...
4 Reactions
51 Replies
6K Views
.........
0 Reactions
1 Replies
792 Views
nina computer yangu hapa dell optiplex sx270 , inakataa kuinstall windows xp aina nyingine zaidi ya service park 1 ,mwenye nayo anisaidi, au anayejua nitakavyoweza solve hilo tatizo anisaidie sasa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
kuhusu yale mavitu yetu yale kwa wanaojua ivi unaweza ukayatumia ukawa unacheki TV ONLINE KAMA NDIO UNAFANEJE nawasilisha
0 Reactions
0 Replies
1K Views
naomba anayejua anisaidie jinsi ya ku root simu ya ideos google?
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Sleek, in demand and most definitely expensive – but the cost of actually making an iPhone is more than £300 less than the retail price. Asymco analyst Horace Dediu used the...
0 Reactions
2 Replies
979 Views
Dear JF Member(s)! Kutokana na usumbufu wa yahoo email katika outlook naamini kuna watu wana trick iliyowapelekea kufanikiwa kuifanya email ya yahoo ifanye kazi bila matatizo au errors katika...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
These are some tricks that make use of programs listed in this guide and nothing will happen even if you go. DISABLE INDEXING SERVICES Indexing Services is a small little program that uses large...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom