kwa wale wapenzi wa kuchat, kuna application inaitwa wechat ina features nyingi zaidi ya whatsapp ebu ichekini ni nzuri sana.
Kuna mdau aliwahi leta thread kuhusu hiyo app lakini kipindi kile...
Wakuu nisaidieni nikiwa natumia wireless internet kwa muda mrefu laptop yangu inagoma na ukiizima ina shut down for so long in short haizimi kabisa so inabidi kila ikistuck nitumie kile kibutton...
do you think you know how to use Google? no you don't my friend unless if you have take a lesson in Google power search education OFFERED BY GOOGLE THEMSELVES i argue strongly to take the...
I accidentally installed this music search engine/toolbar/not sure what it is exactly -inaitwa Radiorage . Anyway, when I go to the uninstall section of programs in control panel, the program is...
wakuu nina moderm ambayo inaingia line yoyote . Sasa nawaombeni mniambie line gani nzuri ambayo wanatoa huduma ya unlimited internet kwa mwezi? Asanteni sana manake hapa najua wataalamu mpo wengi sana
HaBari wana Jf
Tumekua tukitumia mtandao wa kijamii facebook na kuuona ni wa muhimu, Ila facebook imekua na restriction na bureaucracy za kimarekani kwasababu ni made in US. Tuachane na hayo...
nikawa naangalia mpira juzi ijumaa,nikaona tv yangu inatoa moshi mkubwa kupitia matundu yake pembeni.nikazima haraka,kufuatilia tatizo nikagundua kwenye transformer tunayotumia, neutral ikawa...
habaor wadau nina mchina nokia fake nikiingia internet inakataa inaishia google nkiingia kwingine inakataa inasema "the document has been moved here" na nina memory card je naweza kwel kuingia...
Wadau kuna mtu anansumbua sana kiukweli nataka nii block namba yake yan akiwa ananipigia au anantumia mesej asinipate kabisa.....nijuzeni jinsi ya kufanya hivyo mana nimejaribu nimeshindwa alaf...
Jukwaa hili sio la kuuza au kununua simu, tafadhari tuwe makini kama unataka kuuza simu, vifaa chochote vya electronic au huduma yoyote unayotoa. nenda jukwaa la matangazo madogo madogo ndo mahala...
waungwana naomba msaada kwa mwenye ufahamu juu ya ubora wa hizi receiver za openbox mpeg4 hd. maana nliskia ziko poa na zinakubali mautundu ya kufungua scrambled channels! Naomba taarifa kutoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.