Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Jamani naombeni msaada wa link ntakayoweza kupata dashboard ya huawei, nataka kuchakachua modem yangu ya huawei ila sina dashboard na nimeshindwa kuipata, ahsanteni sana
0 Reactions
2 Replies
952 Views
Jamani naombeni msaada wenu laptop yangu ilikua na tatizo la display nilimpelekea fundi lakini amenirudishia ikiwa mbovu zaidi inadisplay msg inayosema UNSUPPORTED WIRELESS NETWORK DEVICE...
0 Reactions
0 Replies
767 Views
nauza dell latitude d610 dsplay na motherboard yake vyote vinafanya kazi. Kwa anaye hitaji anicheck via pm. Bei lak na 40
0 Reactions
2 Replies
954 Views
natanguliza shukrani JF,naomba nijuzwe namna ya ku-attach picha kwenye post nimesumbuka sana. nawakilisha.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
petbyte ni storage yenye 1000 terabytes aka 1,000,000 gigabytes mh aisee hii storage utaweka nin?
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Habari za wken wakuu?Jamani naombeni msaada kwa anayejua fundi ,nina camera aina ya nikon coolpix nilimuazima mtu kunirudishia nikiwasha inawaka fresh nikipiga picha inazima hapo hapo,,ina charge...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
After an initial reluctance, Uganda will now follow Kenya by blocking counterfeit mobile handsets from accessing telecommunications networks. Citing a loss of tax revenue and the lack of safety...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nawasilisha wadau..
0 Reactions
0 Replies
812 Views
Wadau nímenunua laptop mpya kama miezi miwili iliyopita,laptop ilikuja na antivirus ya Norton,sasa wananiambia kwamba antivirus yangu imekwisha na naitaji ku renew doller 84 kwa hiyo...
1 Reactions
30 Replies
7K Views
Niwashukuri wakuu na MUNGU wangu awape nguvu, naomba mnipe msaada me binafsi namiliki laptop ya enzi hizo Dell latitude D620 na ina sifa zifuatazo Processor 2GHz, 40 HDD,1GB RAM sasa basi kutoka...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
1985 Windows 1.0 The First Version of Microsoft Windows, Windows 1.0, with simple applications and the concept of multitasking on PC 1987 Windows 2.0 The Second Version of Windows, Windows...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Wadau hebutembeleeni muone
0 Reactions
5 Replies
1K Views
wataalam naomba mnielekeze jinsi ya kurestore task manager kwenye computer coz imesababisha hata antvirus haifanyi kazi na baadhi ya task zinakwama kufanyika
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nina elimu ndogo ya darasa la saba lakini nataka kujiendeleza kitu kinachonitatiza ni muda siku nzima nakuwa kazini. Sasa nataka niwe najisomea usiku ili nifanye qt sasa naomba ushauri ninunue...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
TemboCard MasterCard ya CRDB kukubaliwa kwenye ATM ya NBC inayokubali MasterCard. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
2 Replies
784 Views
Yaani nilifungua computer yangu kwa ajili ya kufungua internate ikaniandikia (local area connection) this connection has limited or no connectivity . You might not be able to access the...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Naomba msaada wa code za ku unlock huawei e173 tafadhari
0 Reactions
11 Replies
1K Views
C6 na wenzake walinishauri nibadilishe muonekano wa bongobest, na mi nikaitikia wito wao BongoBest Community Sasa naomba wa review afu wanipe any further suggestions
0 Reactions
7 Replies
2K Views
The United Nations Economic Commission for Africa (ECA) and the African Innovation Foundation (AIF) are delighted to announce the call for applications for the 2013 Innovation Prize for Africa...
0 Reactions
0 Replies
969 Views
Jamani wataalamu wa maujanja hebu tumwagieni na sisi hapo ipo zaidi? Sonyericsson experia s na nokia lumia 920 Nawasilisha
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom