Kuna mdau aliwahi kuandika tablet ya google ya bei rahisi google nexus 7 sio vibaya tuka update zaidi kwa kuongezea tablet 2 nzuri zaidi kwa urahisi kuliko google nexus.
amazon kindle fire
Bei...
wakuu habari
mimi sio mtaalamu sana wa mambo ya tekinologia hizi mpya,naombeni mwenye ujuzi anijuze, hivi ni kipi bora kati ya amazon kindle na ipad
--je nikiwa na kindle ni kitu gani ntakosa...
Habarini wadau.!
Na0mba msaada wenu katika hili, mimi nahitaji simu aina ya NOKIA EXPRESS MUSIC.... Na0mbeni Ushauri wenu ni aina ipi ya XP-MUSIC Ambay0 ni nzuri kwa ma2mizi yafuatay0.!
1...
Jamani naombeni msaada cmu yangu nikifungua sehemu ya games inajiload afu baada ya sekunde kadhaa inajizima na nikichezea button inajirestart yenyewe xo nimeshindwa kuelewa hili ni tatizo gani na...
Amani iwe kwenu wana jamii forums.Nahitaji msaada wa simu yangu Sumsung e 2222.Nikitaka kutumia kuangalia VIDEO katika YOUTUBE inakataa kisha inaleta ujumbe ENABLE JAVASCRIP.Naomba mwenye kujua...
Wadau naombeni msaada laptop yangu inajitengeneza folder yenyewe!! inajirename jina la ajabuajabu kama hivi "0d975b542127f3ca0ed43f4447af" ukiyadelete yanakuja maneno haya "You need permission to...
High-Tech Bracelet Concept Phone
Rollerphone phone is a high-tech phone, it features perfect ergonomics and anthropometry in design, Rollerphone also boasts of an enviable media centre. You...
Wakuu natanguliza shukurani kwenu. Nina nokia asha 200 na ninatumia line ya airtel nimeshindwa kuunganisha na internet.Ingawa kwa line ya voda unaandika neno Wap nokia Asha 200 unatuma kwenda...
Wakuu,
Kwa kuwa hivi sasa tuko katika wakati mgumu katika historia ya Danganyika kwenye suala la kupata umeme wa uhakika na ukizingatia tena bado tunatakiwa kuchangishwa zaidi (kupitia ongezeko...
Wakuu nimedownload whatsapp lakini confirmation inazingua niliamua kufanya configuration za net mwenyw coz ilishindikana kupata kutoka kwa server ni hilo tu
WanaJF mwenye hiyo program naomba anipe wakuu. niliyokuwa nayo inaniletea error occured (nimeattch picha).
usiseme sijafanya reseacrh nimeshatafuta humu ndani lakini sijafanikiwa. Mfano wa...
Habari wadau wote.
Tafadhari ,naitaji kufahamu APN ( ACCESS POINT NAME ) ya Airtel na Vodacom.
USERNAME YAKE:
NASSWORD YAKE :
Plz, mwenyekujua taarifa hizi anijuze ,
Asante
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.