Kuna mada moja iliibuka na wahusika hawakufikia muafaka. Mzozo ulikuwa juu ya kifaa kipi kinatumia umeme mwingi zaidi pale kinapowashwa na kuanza kutumika. Je ni tv ya inch 21 au ile ya inch 14...
Habari wana jamvi, hii ni moja ya njia za kuipa domain yako mpya urahisi zaidi wa kuonekana katika search engines. Haijalish kuwa ni .tk ama free domain yoyote. Bofya hapa na ujaribu.
Njia...
Use these softwarez:just google,4disk clean gold 5.5,w32dasm,hiew32!
Or google software name in search box with 94fbr mfano "adobe photoshop 7.0 94fbr" then search!itakupa link ya kudownload!enjyyy
G'morning members,
Mara kwa mara computer yangu (Hp laptop) inadisplay "VER_DESCRIPTION" has stopped working,
Tafadhali kwa anaejui maana yake na jinsi ya kusolve hili tatizo naomba elimu.
Wakuu heshima mbele,k
wa wale wadau wa photography, ama cinematographers au lovers wa camera in general ama wadau wa nikon (a.k.a wapinzani), hatimaye Canon wametoa edition ya 6D, The Lightest and...
Hapa ninapokaa tunatumia unit 18 kwa siku tano. Hivyo kwa mwezi tunaweza tukatumia zaidi 25,000 kwa mwezi tu. Cha kushangaza hatuna vitu vya kutumia umeme mfano heater, pasi tunatumia mara chache...
nimenunua bb 8520 used, nashindwa kutumia huduma za bbm na nyinginezo coz kuna password za mtumiaji wa kwanza kabla ya mimi na simfahamu je nifanyeje ili niweze tiririka..naombeni msaada wenu
Naombeni msaada jamani, kila napotaka kudownload kitu chochote kwenye simu yangu naambiwa invalid web setting. Hiz setting zko wap na ntafanya nin ili niweze kudownload? Thnx
Wanajamvi kwanza kabisa heshima mbele. wakuu ni wapi naweza pata RECEIVER aina ya
ARISAT AR600 MPEG4 HD. Zinapatikana wapi na bei yake kama kuna mdau anafahamu zinapopatikana basi anisaidie...
Natumia Hp Pavillion ambayo nimeinstall W7,lakini nikiiwasha ili kuitumia inakuwa nzito kustart na inapokuwa imewaka nikitumia ndani ya dakika 30 inakuwa imechemka hadi sehemu yote ya key board...
Nokia announced its first Windows Phone 8 devices on Wednesday at a press event in New York. Part of company's Lumia series, the new devices are Lumia 920 and Lumia 820.
Nokia Lumia 920 is the new...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.