Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
wanaJF naomba kujua gharama za kodi zifwatazo baada ya kulipa kodi za TRA zitokanazo na CIF, gharama zenyewe ni hizi hapa. Clearing forwarding agent Car registration license Shipping...
0 Reactions
3 Replies
941 Views
KBLA YA HAPO NILIKUWA NATUMIA FLASH BILA TATIZO ILA TANGU NIINGIZE HII FLASH KTK MY COMP NDO TATIZO LA DISK RIGHT PROTECTED LIMEANZA YAANI SIWEZI KUWEKA DATA WALA KUCHUKUA DATA KWA FLASH YOYOTE...
0 Reactions
0 Replies
581 Views
Naomba mwenye activation Keys za Office 2010 anisaidie. Na pia key za Nero 10 au hata Nero 11. :typing::typing::typing::A S-confused1::help:
0 Reactions
2 Replies
1K Views
After an initial reluctance, Uganda will now follow Kenya by blocking counterfeit mobile handsets from accessing telecommunications networks. Citing a loss of tax...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habar jf, Nipo kwenye wakat mgumu wa kujaribu kupata data zangu za zaid ya miaka 4 kwenye HARD DISK ambayo kila nikijaribu ku open inataka ni FORMAT na nikjiaribu ku CHKDSK ina leta sms ya DATA...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kwa anayejua configuration za dlink router nahitaji msaada
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Pc yangu HP 620,CD Drive Haisomi CD nifanye nini?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu wakubwa. Ninaomba mnisaidie proxy,port na apn za voda kwa ajili ya internet na wap. Ninataka niziingize manually kwny sim angu.SHUKRAN
0 Reactions
7 Replies
3K Views
The core reason of having a mobile phone company in the first place is to connect people and provide means of communication between people by using the cellular network provided by the mobile...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wana JF Naomba kuuliza wakuu kama kuna mtu anajua anisaidie, Je kuna software yoyote ambayo unaweza ku-install kwenye Laptop au PC na ukaweza kupata matangazo ya Redio pasipo kuwa na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
TEN COMMANDMENTS OF COMPUTER ETHICS 1. THOU SHALT NOT USE A COMPUTER TO HARM OTHER PEOPLE. 2. THOU SHALT NOT INTERFERE WITH OTHER PEOPLE'S COMPUTER WORK. 3. THOU SHALT NOT SNOOP AROUND IN...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
nime-format hard disk ya laptop (40gb) yangu na nilisahau picha na documents muhimu sana. Nawezaje kuvirudisha? Sijaweka kitu kingine ktk hiyo hdd. Saidia ndugu.
0 Reactions
9 Replies
38K Views
Jamani wandugu naomba sana msaada wenu wa hizo key illi niweze kuitumia. natanguliza shukrani.
0 Reactions
18 Replies
2K Views
natanguliza shukrani wengine husema kwamba ikifika 100% una unplug power the unatumia mpaka ikiisha ndo unacharge tena,pia nilimuona jamaa flan yeye akisha charge anatoa bettr ktk computer na...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Samahani kwa usumbufu wana JF. Naomba msaada wa namna ya kuweka Avatar kwenye profile yangu ya JF. Natanguliza shukrani kwa ushirikiano.
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Smaller, lighter - and still delivering the utimate in gaming and home entertainment. But you have to wait until the 28th this September! HIi kitu ina 500GB of storage, lakini baadae...
0 Reactions
1 Replies
763 Views
helow GT...JAMAN NINA AIRTEL MODERM ZTE MF190, NILISOMA THREAD MOJA HAPA JF JINSI YA KU UNLOCK KWA KUTUMIA UNLOCKER, TATIZO NI KWAMBA NI IKIDOWNLOAD MWISHON HAI-RUN, AU PLZ MSAADA JAMAN NITUMIE...
0 Reactions
1 Replies
923 Views
hey. msaada kidogo kwenye typing. vipi ni type "€" kwenye window 2000. i mean ni press wapi kupata. alama ya "€"..
0 Reactions
0 Replies
910 Views
NAULIZA JEE KUNA ANAYEFAHAMU HUKO NYUMBANI TANZANIA KAMA KUNA MTU ANAYETUMIA TECHNOLOGY YA SIMU YA MAGIC JACK?KWA SABABU NATAKA KUMTUMIA JAMAA YANGU ILI AITUMIE KWA SIMU YAKE.UNAWEZA KUISOMA...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wataalam mwenye kujua jinsi ya kutumia simu kama bluetooth modem,naomba msaada wa maelekezo,natumia nokia E71,yaan nataka kutumia simu yangu kama modem kwa kuunganisha ktk kompyuta kwa...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Back
Top Bottom