Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
naweza pata software ambayo inaweza kuruhusu modem kutumia line yoyote bila ku-unlock?.nisaidieni tafadhari.
0 Reactions
4 Replies
951 Views
Jaman browser zang haztak kufungua page ya you tube dont knw y i need ur help guys
0 Reactions
2 Replies
716 Views
habari za asubuhi wana tech naomba msaada jinsi ya kuitoa theme ya red alienware kwenye laptop ya samsungwin 7 help maana imefuta hadi theme nyengine..:help::help::help:
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Sababu ni kwamba TORRENT Downloader iko slow sana.Tusaidiane kama kuna jinsi ya kudownloas movies na software kubwa kwa kutumia IDM. MSAADA WAKO.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wakuu, naomba msaada katika hili. The laptop was functional (working perfectly)..ila nilipoizima na kuja kuiwasha masaa machache, Local Drive D ilikuwa haionekani, but in Disk Management...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nnalaptop moja ya Dell ambayo imekufa display yake yani nusu inaonesha na nusu nyigine ni giza nataka niireplace kwa display ya Toshiba ambayo nayo imekufa touch pad, betri na makorokoro mengine...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
naje jaman? natafuta ipad new kwa mkwanj wa lak 7 mwenye nayo aweke namba ya sim
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Jamani sijawahi kutumia vodacom ila nimejaribu kwa mara ya kwanza leo na nimeingia kwenye hii ofa yao ya unlimited kwa sh 200 usiku, natoa ushuhuda kuwa kasi nliyokumbana nayo ni ya ajabu jamani...
0 Reactions
57 Replies
6K Views
Naje.. Naombeni mnipe majina ya Apps nzuri kwa ajili ya Tab!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nina internet yangu ya nyumbani ninatumie Desktop Computer ina modem ya kuweza kutumia kompyuta 4 kugawa internet kwa wakati mmoja. je ni jinsi gani ya kuweza kutumia kompyuta yangu yenye...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Natumai ni wazima wakuu, swali ni kama kichwa cha uzi kinavyoonekana hapo juu. Kiasi cha pesa ni laki 5, ningependa ushauri wa kitaalamu na si ushabiki wa makampuni, Ni vema ukaichambua itaweza...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari za wakati kama huu, naomba msaada wa kujua nichukua solar panel ya ukubwa (watt) gani ili iweze kutosheleza mahitaji tajwa hapo juu. Pili inabidi niwe na vifaa gani ili niweze kuitumia hiyo...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
naomba kujulishwa juu ya gharama za ipad ,na kampuni gani nibora?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wana JF wenzangu, Mkoani Morogoro kumekuwa na tatizo kubwa la chumvi kwenye udongo, hii imeathirii kwa kiasi kikubwa ujenzi wa nyumba mkoani humo! Nyumba nyingi zimeathirika na hasa ikizingwatiwa...
0 Reactions
1 Replies
738 Views
Saidia jamani wataalamu, nahitaji nifanye registration.
0 Reactions
0 Replies
814 Views
HTTP/1.1 403 Forbidden...thats the error m getting guys....on two different computers!!
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Laptop aina gani ni bora kwa bei ya laki 6 dukani! Msaada bandugu
0 Reactions
0 Replies
802 Views
Hi? Wadau ambaye ana airtel router anauza tuwasiliane 0652868667
0 Reactions
0 Replies
823 Views
Just download hii software "nemesis service suite" kama vp igoogle!!! -uwe na USB cable ya simu husika eg nokia 5310. -then install nokia Pc Suite. -baada ya kudownload NEMESIS SERVICE SUITE...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nahitaji laptop Yenye specifaction zifuatazo !! Kwa tsh. 550000 kama unayo just ni Pm 1. Ram-2GB 2. Internal Memory-320GB 3. Iwe na Webcam 4. Iwe na Pentium dual core 5. Iwe Hp, Acer or...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom