habar wanajamvi! Computer yangu uwa ina stuck au nitumie neno jAM mara kwa mara nikiwa naitumie na inanilazmu kuizma coz sijui sehem ya kurekebisha...yeyote anaefaham msaada wake tafadhali
nilikuwa natengeneza tovuti kuongeza maarifa, so moja ya friends alipoiona akadai inaweza kugeuzwa kuwa profit making badala ya kuifanya kiutani...
guys hebu pitieni
Mtaa Wa Saba Classified...
Jamani nina siku karibu sita modem ya voda inanisumbua, nikiweka kwenye computer inaonyesha kuwa inaonyesha rangi nyekundu mda wote. Haikubali kukonect na kila nikiweka tatizo linakua hilo hilo...
Wakuu tuliambiwa kuwa kuanzia septemba hii jamaa wa star tv waangeanza kurusha matanganazo kupitia mfumo wa digitali, lakini naona tunaingia octoba sasa. Vipi jamaa wameishia wapi?
Interogation ni kumpa mtu mateso ili aseme ukwel. Nlikua naangalia series ya 24 kuna jamaa walikuwa wamemchoma sndano yenye morphaine hata haikuchukua dakika kupata jibu kiasi kwamba hata uwe...
Amani kwenu wadau, natumai wote mu wazima.
nahitaji msaada kwa mtu yeyote anayefaham wap naweza pata printer / mashine ya kuprint mifuko ya plastic hapa TZ.
thanks in advance.
:biggrin:
Heshima zenu wakuu?
jana nilikuwa naprint document kwenye printer yangu ikawa ina print page niliyokusudia na ina print tena page nyingine amabayo ilikuwa na ujumbe kama huu...
Filename...
Haya wataalamu wa IT, mnaweza kuingia kwenye ulingo wa hii kitu hapo chini. Kila la heri.
The WHO Department of Knowledge Management and Sharing (KMS) and the Special Programme for Research and...
jaman naomba mnisaidie nina cmu yangu ya ideos inaniandikia temperature is higher than the operating temperature of the phone,functinality is limited harafu inazima naomben ufumbuzi wa ili tatizo.
nimei update window yangu mara nyingi sasa inaniambia 30 days to activate....huku ikinitaka niingize product key
sijui nizipekue wapi nizipate plz mtu mwenye nazo au kama unaweza kunisaidia...
Ile IDM patch/cracks niliyopata humu imekamatwa na sasa nkitaka kudownload naambiwa kuwa ilikuwa registered with a fake key. Naomba msaada tena maana natafuta kwenye posit zangu sioni tena.
windows has recovered from an unexpected shutdown
Problem Event Name: BlueScreen
OS Version: 6.1.7600.2.0.0.256.1
Locale ID: 1033
Additional information about the problem...
Dah laptop yangu imepasuka screen ni dell,so cjui kama naweza kubadili hyo screen ama vipi na cjui naweza kupata wapi hyo screen,msaada tafadhali wanajamvi.
Habari zenu wataalam wa techs nina laptop yenye specs zifuatazo 1GB ram,intel atom cpu N455@1.66GHz 1.67GHz ipo slow sana kwenye vitu vingi mfano magames nk..mimi si mjuzi sana kwenye mambo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.