Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
1. outline at least 5 reason for the password to be strong 2. list steps of securing a new web server 3. Why linux server OS is preffered over windows naomba tusaidiane kuyajibu hayo maswali...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Now I was wondering that drivers are important and the forum has no thread for drivers. If you are in search of some drivers and cant find them post the driver you need with its model number and...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
wadau nina shida sana na bulk email kwa ajili ya shughuli ninayofanya...lakini hakuna mtu aliweza kunisaidia wakati nilipoomba...hapa JF,lakini nimegundua kwenye email yangu nina email nyingi...
1 Reactions
2 Replies
997 Views
01 aug 2012 The 101 Most Useful Websites of 2012 The 101 Most Useful Websites on the Internet is a frequently updated list of lesser-known but wonderful websites and cool web apps. Presenting...
4 Reactions
2 Replies
3K Views
Nina cd yangu ya nyimbo za Elvis Presley. Nataka nii-copy kwenye pc yangu, ikipata scratches nisizikose nyimbo zangu. File za cd ni Audi tracks na size ni 1kb files zote. I can't copy them...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
nokia leo wamezindua simu 2 nokia 308 na nokia 309 simu hizi ni muongezeo wa nokia 305, 306 na 311 simu zote ni za s40 touch screen. moja kati ya mambo yanayofanya nokia ionekane inauza smartphone...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
guyz nsaidieni nina laki 6 natafuta laptop nzuri..nichukue ya kampuni ipi?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu salaam, Naomba wenye ujuzi mnisaidie niweze kudownload file kutoka http://fileme.us/file/03e8e7 nimejaribu. Sharecashbypasser, survetassasin sharecash auto downloader, nimeturn off java...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nawaombeni wanaJF munieleweshe kuhusu vitu hivi ambavo huwa naviona tu everyday naomba kujua tofauti zake na maana zake labda! 1)Android 2)Symbian 3)Java 4)Jad
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wana jamvi nisaidieni nina motorola droid pro xt610 ilikuwa inatumika USA, mi nimetumiwa problem ina lock zao nani atanisaidia hili suala mafundi wengi kkoo wababaishaji. Please help me
1 Reactions
4 Replies
814 Views
wakuu nimeona ni-convey mawazo yangu kuhusu siasa za bongo kwa kutumia 3D video.nimetumia adobe AE CS5 kwa ku-aply camera layer,light layer na red sold.wale watu wangu wa maswala ya Graphics...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Msaada jamani keypad zangu zimechanganyikana na namba ,pia modem haisomi toka juzi , natumaini mtanisaidia jamani
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naongelea ipod touch 8g.. Vilevile BLack berry curve ni sh. Ngapi? Thanks kwa watakaonisaidia. Nimeulizia hivyo maana kuna mtu yuko South ana mpango wa kuniletea.. Kanambia iyo curve ni 1.9...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jinsi ya kubadili network set kwenye cm 'MI' A300
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wanajamvi heshima sana kwenu! Nina simu aina ya Nokia E5 yenye keypad zenye kiarabu na kawaida. Kila nikijaribu kucheza video kwenye YouTube inanipa ujumbe huu; "connection to server needed"...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Napenda kutanguliza shukrani kwa wote. Waungwana kama kuna mtu mwenye uelewa wa databese naomba anisaidie
0 Reactions
3 Replies
359 Views
natumia sm ya express music. niki download kitu kwenye internet inanipa ujumbe.INVALID WEB SETTING
0 Reactions
1 Replies
824 Views
kweli nimeamini kama voda wana 7.2 mbps
0 Reactions
21 Replies
3K Views
wengi wetu tumepitia udogoni stage hii ukiambiwa kitu unakataa basi mzazi anakwambia ''ntakupeleka kwa dokta ukachomwe sindano''. Wanasayansi wa korea wamegundua sindano ambazo zitatumia...
0 Reactions
26 Replies
7K Views
Naomba kuuliza hivi hamna njia nyingine ambayo unaweza kutumia internet kwenye blackberry bila ya kujiunga na package za internet
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom