Naomba yeyote mwenye uelewa anissaidie kunako hili.
Je Tablet pc program zake zinafanana na pcnyingine kama laptop na desktop? Pia hizi tablet zinafaa kwa matumizi yapi zaidi?
Msaada tafadhali...
Habari zenu wana JF. wakuu mimi si mtaalamu sana wa adobe photoshop 7 lakn kwa kiasi flani najua jua. Problem yangu kubwa ni jinsi ya kufanya picha ing'ae na kuw na rangi km chocolate flan hta km...
Habari wanaJF!!
Nahitaji msaada naitumia www.yourmuze.fm kusikilizia online radio lkn n za nje 2.
Kuna kipengele cha kuongeza local radio na Wanahitaji Url ili u-add na usikilize{nisaidieni...
Waungwana nisaidieni.
Kompyuta yangu inapozimwa, nikija kuwasha inakuwa kama power haingii, ila baada ya kujaribu mara nyingi inawaka na shughuli zinaendelea. LAkini inapounganishwa kwenye power...
How to Hide IP address and surf anonymously for free?
Hi Break the security readers, in my last post, i introduced "Hide The IP" software. "Hide The IP" is best IP hiding software. The...
Msaada wenu wakuu, nimejaribu ku-google na ku apply njia kadha wa kadha lakini bado sioni mafanikio.
Njia nilizojaribu ni zifuatazo:
1) Scanning ya virus
2) Kuingia kwenye safe mode na kutumia...
Often times Autorun virus come into our PC. That time creating some problems for them and they does'nt work properly because the Drives does'nt opened quickly. Today, i will showing a tweak, that...
Pleaseeeee!!!!!! Wakuu...........
Kwanza Heshima mbele.
Please, I'm after help to you JF member on how to make internet connecxn with more than one computer but ma-self I have only one Internet...
Having your cell phone or tablet stolen is not just a bad day at the zoo, it potentially compromises your safety and security. Thanks to the FCC (back in the age of the dinosaurs, the early '80s)...
nahitaji kununua sports rims kwa ajili ya kigari changu ..... sasa nimeingia wasiwasi baada ya kusikia kuwa kuna rims fake za kichina na kuna originals (alloy wheels)
naomba maujanja ntakapokwenda...
Wamiliki wa TING rekebisheni mitambo yenu iwe automatic kwa ajili ya ku recharge malipo na chanel zenu bado ni chache ikiwemo LOVE WORLD ambayo inaonekana jina tu.Aidha siwaelewi kwenye fomu zenu...
Hivi karibuni nimesahau password yangu ya application inayoitwa folder lock. mpaka sasa nimeshindwa jinsi ya kureset password ili niweze kurecover my files..niliwahi sikia njia inaitwa brute force...
Wakuu poleni na uchovu wa siku, natumaini kila mmoja humu yupo mzima wa afya na kama yupo anayeumwa basi tumwombeeni aweze kurudi hali yake ya mwanzo. Wakuu mimi ninatatizo la kutoelewa ni nyia...
habari za asubuhi wanajf naombeni msaadaa wenu ktk hili nimewasha dstv nyumbani sasa kitu cha ajabu haiscan ipo tu kama vile imestack
kwa maana kwamba vile invyoandika number of public...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.