Naomba anayefahamu namba. Ya customer. Care ya tigo anifahamishe. Ni siku tatu sasa. Napiga namba 100 najibiwa na machine na kurecord ujumbe nisaidieni hiyo ya kulipia. Ili niwapate.
I knw it hav a built in bluetooth lakin nashindwa kuiwasha..nimesoma google wanasema niende dell website nidownload bluetooth installer lakin sijaiona so kama kuna mwenye maujuzi na hii mambo...
Nimeona niombe ushauri kabla ya kununua,naomba unifahamishe kuhusu modem nzuri kwa sasa. Nimeona tangazo la airtel modem humu jf ila sijafahamu kama ni nzuri. Pia nilikuta mahali modem za...
iPhone yangu nimeipgrade kwa kutumia iTunes kutoka os 4.3.2 kwenda os 5 sasa imerudia factory settings na inataka line za AT & T tu, ukiweka za kwetu inasema 'No Service'
Wandugu, .NET membership database inafanya kazi vizuri kwenye local server, lakini nikiupload kwenye host server inakataa kuprocess login and register functions, then "Invalid value for key...
Hi great thinkers !
Kwa anayeweza kunisaidia please laptop yangu ina run win xp sp 3 sasa ghafla inaniambia
30 days to activate windows.
Nimejaribu keys zaidi ya 6 but tatizo bado linaendelea...
Waungwana natumaini wote mko shwari,
Nina simu yangu Blackberry tourch 9800, nilikuwa somewhere kwenye vaccation na kwa bahati mbaya picha zote nilizochukuwa kama memory nilipiga kwa kutumia simu...
Many application developer they forget query injection problem.
Hapa chini ni njia ya kutest kama sehemu ya kulogin au kuingiza data kwenye system yeyote iko secured.
kwa mfano kwenye login.
'...
natafuta mtu ambaye anauzoefu wa kununua vitu ebay....coz nahitaji aninunulie some things kama ypo anitaarifu basi ataninunulia hiyo product the ntamrudishia fedha zake alizotumia kuninunulia
Microsoft Arc Touch MouseThe mouse measures 15mm thick and is flexible because of its flexible silicon composition
.
Shark Mouse ConceptA mouse that gives the wrist that much of a comfort
...
Naomba mwenye kujua bei ya battery mpya ya toshiba anijuze, maana laptop yangu inaonyesha alama nyekundu kwenye highlight alafu inasema considery replacing your battery.
Wataalamu ninaomba kujua ,kufahamishwa,zinakopatikana hizi kitu za kuflash simu,,
zzinauzwa wapi na bei yake,zinapatikana vipi?bei yake?SABABU NATAKA NIJIINGIZE KWENYE HII FANI,,NAWAKILISHA naomba...
Hello! wana habari wan jamii forum wenzangu siku kuu imeendaje? hope it was good. Kama nilivyosema hapo juu software za bure zinanipa taabu keli sasa any one ajaribu kunisaidia plz ni hivi nili...
Hatimaye Website ya Jeshi la polisi Tanzania laingia mikononi mwa Hackers. Tembelea sasa hivi ujionee mwenyewe.
Hacked Your Site | Mohammad Peace Be Upon Him | 2012
Jmn nisaidien cm yangu (Nokia 3120classic), zamani nilikuwa naweza kustream video za youtube but sasa hv nikitaka kuangalia haionyeshi hata nikiclick button ya ku watch' hairespond chochote msaada plz
Guyz ninasimu aina ya nokia 2700 classic tatizo ni kwamba cicuit yake ni mbovu fundi simu mmoja wa posta ndo kantell hivyyo anataka buku 30 kwa kazi hiyo sa natafuta *mtaalam mwingine ambaye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.