Here is a simple Trick to Repair Windows XP without Installation CD. To make use of this Trick just follow these steps :
1) Click on Start >> Run >> Type "webfldrs.msi" ( without quotes )...
Kwenye ukurasa wao wa facebook, Vodacom Tanzania wametoa wi-fi Routers 10 na nimeona sio mbaya tukijuzana hilo kwani naweza kuwa source ya wewe kushinda ukanikumbuka pia!!! Wanachohitaji ni wewe...
On their facebook fan page, vodacom are giving away 10 Wi-fi routers to their fans!! You just have to sign up as well and the router could be yours! follow this link Vodacom Tanzania: Win a...
Hi wadau jaman naombeni msaada ninataka kuhost moodle site lakin napata matatizo ya kuseti dataroot mwenye ujuzi na haya mambo jamani naombeni msaada (+255-652868667)
Bny Technology is pleased to announce that it has finish to develop one of the most advanced job recruitment portal available in industry to date. The Portal is now at the testing and evaluation...
Picha katika website ya mteja wangu zinaload polepole sana. Nimejaribu kutumia watu katika nchi mbalimbali wafanye testing, majority wamesema picha zinaload pole pole, lakini page nyinginezo...
Salaam wakuu, hapa ningependwa kujuzwa jinsi yakutengeneza hizi video tutorials kama zinazopatikana youtube. unakuta mtu ana narrate na maneno yanatokea halaf sometimes unaona kama anasolve kwa...
Laptop yangu ni aina ya ACER,Jana nilimpelekea rafiki yangu akaniwenikea Program ya IDM,baadaye akafungua hard disk kwenye partion D na kuscan Virus.Nilipofika nyumba ili nianze kufanya kazi zangu...
Asalaam aleikum wana-Jf..!
Nimepata taarifa kwamba mwezi umeonekana, na kama hivyo ndivyo basi nawatakieni IDD MUBARAK na week end njema..! Zaidi ya hilo naomba msaada toka kwenu kama kuna yeyote...
Mbona Star Times wanatangaza channels mpya ila mi nimejaribu kufanya automatic search lakini wapi! No new channels. Nimejaribu kuzima na kuwasha na kufanya search bila mafanikio. Hizo channels...
habari za majukumu wanajamvi, hard disk yangu nikiikonect kwenye pc inasoma ila haifunguki na inaleta ujumbe wa kuformat mara kwa mara, ukitizama property zake zinaonesha free space=0 bit na used...
USB Webcam Rocket Launcher
While youre chatting with your buddies on MSN, this Webcam USB Rocket Launcher allows you to do more than just share videos and pictures. With this cool gadget you...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.