To change that spacing in XP:
1. Right-click a blank space on the desktop and choose Properties.
2. Click the Appearance tab.
3. Click the Advanced button.
4. Select Icon Spacing...
Jamani wakuu naombeni msaada kwani natafuta namba ya simu ya hawa dealers(Foneshack) ila nashindwa kuipata hivyo naomba kwa yeyote yule anayeijua ashare bac nami......Thanx in advance.(Foneshack...
Wakuu eti charger original za laptop zinarenji kwenye sh. Ngapi?
Tatizo nililo nalo ni kwamba all of a sudden iyo charger iliacha kuchaji pindi naitmia. Then machine ikazima.. Nikaamua kuiwasha...
natumia windox xp sp2 ram 1gb, procesor 2.99 sasa nimeweka game la fifa 2011 limegoma kucheza linasema cjafksha viwango, naomba mnisaidie ni game gani ya mpira itafit computer yangu? Ahsanten
Wanajamvi,habari, nina LCD TV ya Sony Bravia inchi 40,na nina tumia Deki ya Panasonic DMP-BDT 110, nimeunga Deki na TV kwa HDMI cable shida yangu nataka nipate muvi zilizo clear kwenye TV ,au...
Wakubwa,
Mimi natafuta computer ya kueditia video jaman nimeweka dau la laki 3. ceck hivi vitu hapa:-
1. VGA card
2. Hard disk 250GB.
3. Ram 2GB
4. Intel Duo core processor 3.5Ghz
5. Desktop-Flat...
Wakuu habari za Usiku...
Ninatumia modem ya Vodacom ya kuwela line ya simu na nimeweka VODA BOMBA ya kulipia 30,000/= kwa mwezi tatizo tangu Ijumaa haitaki ku access website ya yahoo so siwezi ku...
Wadau hizi simu za Nokia Asha series ni nzuri, ila nimegundua tatizo katika baadhi ya Application zake,mfano SOCIAL APPLICATION baada ya muda haifanyi kazi,inasema INVALID APPLICATION DELETE? Hata...
Katika tembea tembea yangu nikakutana na site hii http://piratenz.eu ni poa sana. Ni direct downloads. Wale wa proxy mnaweza itumia pia. Nimeijaribu iko poa. Hope na wengine mtaenjoy.
Jamani wana jamvi poleni na majukumu ya kujenga taifa...Ninaomba kwa yeyote mwenye serial namba za ashampoo burning studio version 7 anipatie...Natanguliza shukrani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.