Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Mwenye uelewa na hii ki2 anisaidie. kwenye pc yangu kuna kafile hua kanajitokeza asa kwenye desktop, hata sielewi kanatoka wapi. kijifile chenyewe hua ivi "desktop.ini" nkikafuta kanarudi. msaada
0 Reactions
2 Replies
790 Views
help kukaunlock haka kamodem wajameni.... Imei'359592035826315
0 Reactions
3 Replies
889 Views
wAKUU LEO SIKU YA PILI SASA PD PROXY INANIGOMEA, KILA NIKICONNECT INAGANDA AUTHET.........SO SIJAELEWA KAMA TUMESHAPIGWA MWELEKA AU?? WAJUZI FUNGUKENI 2JUE.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamani niko dar kimara nimejaribu zile frequency za kupata itv, eatv na star, nimefanikiwa kuzipata lakin hakuna picha, je tatizo ni nini? Injinia tafadhali.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Internet nikifungua inagoma katika Disktop.inasema Server not found date iko sawa. Msaada pls.
0 Reactions
1 Replies
802 Views
Nilikua natafuta thread iliyokua imeandikwa window is not genuine coz nna same problem lakin siipati... natanguliza shukran
0 Reactions
4 Replies
2K Views
ninatumia nokia navigator.na ninatumia application ya opera mini ninapoenda youtube kuangalia video ninapo "click" kwenye video inaniambia "connection to server needed.connect?"niki connect...
0 Reactions
0 Replies
602 Views
Nataka ninunue modemu ya Airtel ila naomben kujuzwa utofauti uliopo(wa kiuwezo) kati zile Nyekundu kote na zile nyeupe zenye logo ya airtel nyekundu.Tusaidiane waungwana sitaki kuotea which is which
0 Reactions
2 Replies
938 Views
wadau kama hamtajali unaweza post eneo ulipo mtandao na speed unayopata ili kuwezesha watu kujua speed za mitandao mbali mbali sehemu tofauti. Hii itasaidia mtu akitaka kuunga bundle ajue ipi...
2 Reactions
52 Replies
4K Views
Nahitaji kudownload youtube videos kwa kutumia simu.. Nafanyaje wakuu??
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Salaam wana jf,Naomba kufahamishwa tofauti iliyopo katika utumiaji kati ya computer za apple hususani mac pro na Computer nyingine Kama dell, sanding, lenovo, n.k nimeangalia specification nimeona...
1 Reactions
2 Replies
984 Views
Ps2
sehemu yenye usb inatumikaje wadau hebu nipeni somo coz nataka kuplay games via usb badala kutumia cd?...
0 Reactions
1 Replies
736 Views
samahani ni modemu ya aina gan n nzuri kwa matumizi ya laptop!
0 Reactions
30 Replies
5K Views
kwa wale tuliokua tunateseka kupata email service kwenye blackberry... email ikiingia itaku alert kama msg.. chakufanya tembelea hii website kwenye simu yako kisha itakupa option ya...
0 Reactions
0 Replies
883 Views
http://www.eastafricaherald.com/2012/08/african-countries-with-highest-internet.html
0 Reactions
4 Replies
2K Views
by Dr. Veronique Desaulniers The truth is: you MUST protect your body from the barrage of electromagnetic field (EMF) pollution. Let me start of by telling you about an interesting experiment...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
please members, can you assist me to have a free download link to acca study kit(2012) materials? i tried but i couldn't. thanks in advance
0 Reactions
0 Replies
720 Views
jamani kuna ujanja mwengine wa kudownload kutoka rapidshare kama premium ukiwachia tomtest na savefrom ambazo siku hizi zimekuwa slow kinyamaaa/ naomba mwenye nawo atugawiye
0 Reactions
2 Replies
251 Views
Jamani natumia NOKIA C1 na napenda kutumia Google maps niko Temeke Dar natumia mtandao wa Airtel but Google maps napo ifungua hanionesha Hata tanzania mwenye uelewa kidogo wa hatua za kupitia hadi...
0 Reactions
1 Replies
935 Views
Habari wakuu, Msaada katika hili. Nna simu aina ya BB torch 9800. hii simu ninayo zaidi ya miezi mitano ila tatizo ni kwamba kila nnapokuwa nje kidogo ya mji simu inakata network, ila...
0 Reactions
7 Replies
390 Views
Back
Top Bottom