Wadau toka juzi mtandao wa airtel unasumbua hasa maeneo ya mz na Geita hasa kwenye modem zinaconnet ila net inakuwa chini sana .kuna mwenye kujua tatizo ni nini?
Wakuu naomba tena msaada mnijuze, hivi kuweka picha (upload) kwenye thread ambazo zinacheza kutoka kwenye website au File la Computer unafanyaje maana ukii- save as picha ya kawaida ya GIF na...
wakuu sielewi ni kimetokea, applications zote hazifunguki
computer ni Toshiba Satelite C660 na ina window 7 premium...
Naomba msaada wenu katika hili..
Wale wajuzi wa masula ya kuanzish radio station
Mjomba wangu anataka kuanzisha radio katika moja ya mji nchini tanzania9not dar) fedha alizopanga ni ---- milion.
sasa mtaalamu anahitajika...
Three year-old Robin Siyandleya sits on his mother Rujeko's lap while Prosper Bindiko cuts his hair at the Woodlane informal settlement in Pretoria. The hair salon makes use of solar panels which...
habari zenu,
huduma iliyoletwa na tiGO ya kutumia Facebook bila internet kwenye simu yako kwa kupiga *148*01*4*2#...naona mizinguo tu maana kila unapojaribu ingia kwenye akaunti yako...
wazoefu wa magari haya nisaidieni jamani manake nayapenda mno na nataka kitu economic kwenye wese kinoma,yanakulaje wese kwa lita au gari gani zaidi ya hili ni ecnomy sana
Kuna kitu kinanitatiza ni kwa nini thread titles kwenye forum au new posts nyingine zinakuwa na wino mzito (bold) na wengine zinakuwa normal (hazina bold). Nahitaji kujua zenye bold mnafanyaje...
Wana JM naombeni mnisaidie ishu ya kucomfiger mozila ili niweze kutumia mtandao free yaani bila credit. cause kuna jama kafanya hivyo na kafanikiwa anatumia modem ya Voda. kama una jua naombeni...
Habari za usiku wa leo wanajamii?? jamani naombeni msaada wa namna ya ku restore hard disc maana kuna kama 50 gb za HDD naambiwa kuwa unallocated.
hii ilitokea wakati nafanya partition ya hard...
kwa kuapdate status via ipad,blacberry.android ,HTC na divice nying tu just ingia statusvia.net ili kuapdate status yko ktk fb via anything..just for funny.
Jamani naombeni msaada kuhusu internet ya Voda.Line yangu ina bundle na extra credit pia kama 800 hivi,3G signals zipo na very strong.Nikijaribu kuconnect inaconnect lakini inaonyesha NO INTERNET...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.