Wataalam wa haya mambo leteni maneno hapa kuelimisha wana JF. Nimenunua TV aina ya PLASMA Samsung lakini nilipokuwa najaribu google...wataalam wengi wanasema kimsingi TV zinatumia LCD na kikubwa...
habari za kwenu wanaJF,
naombeni mnisaidie niweze kujua jinsi ya kuaccess computer yangu nikiwa popote. Yani kama nikiiacha inawaka nyumbani basi nikiwa kazini niweze kuiaccess na niwe naitumia...
looking for a web designer with good
designing abilities and creativity. if you are
the one or you know a friend tel him or her
to email their cv at pasiansi@gmail.com or...
Hii itakuwa kali kweli ukijivinjali katika tovuti ya Wizara ya Afya (www.moh.go.tz) utakutana na jamaa likiwa na bunduki kali sana! na kuna maneno haya HACKEDBYCELLAT. Nafikiri kutokana na hili...
Wadau wa jf me nakwazwa na uhamasishaji wa upande mmoja juu ya muda wa mwisho wa matumizi ya matangazo ya tv ya analogy, kwani kampuni zitakazotoa huduma za digital bado hazijajiimarisha hasa...
hello,simu yngu e5 everytime inakuja option ya select enhancement hata nikiselect inarudi tena na tena,nimejaribu kufanya factory settings kitu bado 2 nmejaribu kuiupdate software ya simu lakini...
Curiosity Steps Up Search for Alien Life on Mars
NASA's Mars Science Laboratory ratchets up the quest to the next ingredient in the recipe for life -- organic carbon.
By Irene Klotz
Sat Aug...
habari zenu wadau.
mimi ni kijana mwenye kipato cha kawaida,nimekuta volkswagen polo inauzwa,hivyo nimeona nipate ushauri wenu wa kitaalam na kiuzoefu ili nisifanye makosa katika kununua gari...
Baada ya masiku kadhaa kufanya utafiti wa blog za wabongo nimegundua wengi wao wamejiingiza huko kuganga njaa maana ubunifu ni zero habari na picha wanacopy na kupaste na zote zinafanana...
Habari zenu wanaJF,
Naomba kujua jinsi gani naweza kuona all the devices zinazotumia wireless yangu ya nyumbani na jinsi ya kuweza kucontrol wireless ili kama kuna any device ambayo inatumia...
Step1: Download Easeus Partition Master Home Edition then proceed with the installation.
Step2: After installation, run the program on your Desktop. Select the drive you want to partition and...
Nimejaribu kujua kuhusu hivyo vitu sijapata jibu sahihi google. Kwa ajuaye anielekeze coz nataka ku upgrade manually my android phone to icecream sandwich...
Wabeja
Je os yako ya windows ina matatizo,
Je iko corrupted au kuna missing files
Ni rahisi kurekebisha
Run command promt kama admin na andika command zifuatazo
sfc/ scannow kisha bonyeza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.