Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Nimepata fifa 12 ila nimeshindwa kuinstall... Naomba msaada kwa anaijua{alie nalo} 2. Nina need 4 speed hot persuit, nikitaka ku activate ina niomba serial codes. Kwa alie nazo naomba anisaidie...
0 Reactions
1 Replies
669 Views
Halow wana JF, Computer yangu Laptop Dell mpyaaaa!!! haina sauti mfano nikiweka modem yenye option ya kupiga simu, inaniambia no audio device found, the call will be terminated!! halafu basi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Chuo kikuu cha Mbeya University of Science And Technology (MUST) ambacho Zamani ilikuwa Mbeya technical college (MTC), badaye Mbeya Institute of Science and Technology (MIST) na sasa kimepewa...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari zenu ndugu zangu. Natafuta mtu wa kunitengenezea ipad yangu.Tatizo ni kwamba niliidondosha na hapo haikuweza kuwaka tena.kwa mwenye uwezo naomba anitaarifu japo kwa PM. Asante.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Huwa inafika wakati unahitaji crack au keyz za software flani lakini inakosekana, mimi nadhani ni kwa sababu crakers hawajavutiwa na hiyo program au labda ni watu wachache wanayo ihitaji. Hapa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
naomba kufundishwa jinsi ya kutumia kamera ya mbele ya N95,kwani ninamdamrefu sijapata ufumbuzia hadileo.naomba elimu wakuu.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Source: The Internet in 2015 | Visual.ly
1 Reactions
4 Replies
1K Views
1. System Requirements At lease 500MB of free disk. Windows 7, Windows Vista or Windows XP. 2. Installing BlueSoleil 2.1 Before installing Uninstall the earlier version of...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu habari za mida. Nina portable Dvd player mupya na nimeitmia kwa miezi miwili. Tatizo limekuja juzi juzi, ukiweka dvd inazunguka weee then inakwambia NO DISC. Sasa hv haizunguki kabisa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
We provide web services at professional qualities and at most reasonable prices that no other service provider may dare to. Our web solution including following amazing features: 40GB disk space...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
gd evening evlbody! natumia tecno t451 ina operamin ya humo humo tatzo kuna baadh ya app' inagoma kufungua kama facebook inaleta menue ya e-mail na password nikijaza naku log in inafail mala zote...
0 Reactions
7 Replies
986 Views
tuchekiane ka vipi kama una mautundu hayo kwa ajili ya business plssss. We ni PM then tutachekiana.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba msaada wa hzo key wandugu
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Gudeveng!naombeni msaada jinsi ya ku2mia printer hp deskjet 2050A Kwa ku2mia pc yenye windows 7,32bit baada ya kununua nimegundua kwamba specification za mashine inatakiwa iwe windows 7,64 or 86...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
msaada jinsi ya kuingza link kwa ajili ya kupakua kwa kutumia IDM. natumia idm 6.11 thanks
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tanesco walivyo wakorofi wamekata umeme ghafla pc yangu ikiwa on, na baada ya umeme kurudi nimewasha pc yangu ikawaka lakini hai-display kitu chochote. Sina ujanja zaidi ya kuisubiri jf itoe tamko...
0 Reactions
3 Replies
867 Views
Wakubwa tumeshaanza kutoa mafundisho ya joomla, unaweza kufuatilia kwa kwenda Ujenzi Tovuti pia ntakuwa natuma video hapa Jamii Forums.
3 Reactions
29 Replies
4K Views
Habari za kazi wanjamii?? jamani mwenzenu nilinunua ka laptop kangu kapyaa ni hp 635 kama miezi 7 iliyopita,sasa kuna kama vitu 2 nilikuwa naomba msaada kiushauri wenu maana huku ndio kimbilio...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Nimekuja kupata msaada hapa kwa wataalamu wa software. Nahitaji kujua kama naweza kupata software kwa ajili ya kudisign cards mbalimbali najua kutumia publisher tu. Nitashukuru kwa msaada wenu...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
WanaJF habarini za wikiendi, Ninaomba msaada wa kupata software ya windows 7,computer yangu imeliwa baadhi ya mafile ya OS nahitaji ku install upya au kama kuna alternative naweza kufanya naomba...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Back
Top Bottom