Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
bila shaka mko poa, mwenye kujua passwod za tecno t451 nataka kuweka phone security bt nafail kupata hzo code
0 Reactions
1 Replies
4K Views
A computer engineer checks equipment at an internet service provider in Tehran.(REUTERS / Caren Firouz) Tehran plans to remove its key ministries and state bodies from the Internet next month...
0 Reactions
0 Replies
648 Views
Wakuu salam. Wakuu kuna kampuni yetu inataka kufungua website yake, naomba kwa wataalam tuwasiliane kwa PM, eleza gharama zote including hosting. Asanteni
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Samahani wadau naomba njia yaku unlock modem yangu ya zain model: E22
0 Reactions
1 Replies
896 Views
Wakati sisi tunasumbuliwa na mambo madogomadogo kama njaa na malaria, wenzetu wanafanya uchunguzi kwenye sayari zingine, angalia link hiyo hapo chini. NASA's Robot Lab Curiosity Nears Mars -...
0 Reactions
0 Replies
624 Views
Wana JF naombeni mnijuze tofauti ya status hizi katika usajili wa vyuo vikuu hapa Tanzania: Full registration and Chartered Full Registration Accredited Accredited and Chartered
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Watalamu najaribu kuweka bandle kwa ajili ya internet kwenye line ya Airtell toka jana inasema failed ile ya *154*44# jamaa wa customer care hawaeleweki msaada tafadhali
0 Reactions
7 Replies
1K Views
naombeni msaada pa kuangalia movies online bila shida yoyote natumia nokia navigator 6110
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Napenda kuwaalert wale wasiohua kuwa Microsoft wamephase out Window XP yani sa hivi unayoweza kutumia at least ni SP3 so ukiona msg kwamba the s/w is invalid usishangae hamia kwingine.
3 Reactions
52 Replies
4K Views
1.Wakuu naomba kujua hii huduma ya Wi-Fi inafanya kazi vipi? 2. Simu yangu ni Nokia E5 je hiyo huduma inafanyakazi?
1 Reactions
27 Replies
8K Views
Naomben msaada,nikisha andika,nikibonyeza attachment,nikichagua file zina upload BAADA YA HAPO NASHINDWA KURUD KWENYE POST YANGU
0 Reactions
22 Replies
3K Views
http://www.eastafricaherald.com/2012/08/internet-pirates-will-always-win.html
0 Reactions
0 Replies
864 Views
Wakuu poleni na uchovu wa siku, natumaini kila mmoja humu yupo mzima wa afya na kama yupo anayeumwa basi tumwombeeni aweze kurudi hali yake ya mwanzo. Wakuu mimi ninatatizo la kutoelewa ni njia...
0 Reactions
1 Replies
935 Views
hapa jf mtaalamu wa kuactivate ms office 2010 proffesiomal plus naomba atusaidie nimekwama
0 Reactions
7 Replies
3K Views
wakuu natanguliza shukrani kwenu kwa kuendeleza kutujuza na kutusaidia hapa jamvin sis wenye matatizo. Wakuu mim nina tv flat screen bapa aina ya sanyo model...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
nilikuwa naomba mnisaidie ni jinsi gani au wapi naweza kupata mobile tv yenye channel ambazo ni maarufu,nisaidieni nimeangaika sana.simu yangu ni nokia navigator 6110
0 Reactions
7 Replies
1K Views
wadau wa IT, Naombeni msaada computer yangu haifungui account yoyote ya facebook (website zingine inafungua vizuri) ninapofungua www.facebook.com/login inafungua mpaka sehemu ya kuweka email na...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ni application ambayo inakupa access ya ku backup chochote pamoja na settings zako ktk cmu yako. Pia hata kama imeibiwa au kuahribika mara tu unaponunua BB ingine unauwezo wa ku restore. Kila kitu...
0 Reactions
1 Replies
921 Views
Prove that 2+2=0. Art student – this question is out of syllabus. Commerce student – problem is not well defined. Doctor – research in progress but no result found. Engineering student...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Wakuu poleni na uchovu wa siku, natumaini kila mmoja humu yupo mzima wa afya na kama yupo anayeumwa basi tumwombeeni aweze kurudi hali yake ya mwanzo. Wakuu mimi ninatatizo la kutoelewa ni njia...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom