Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
New Galaxy Tab 2 (64GB), Sold for 800,000Tsh. Pm or call for more info:0782221405
0 Reactions
0 Replies
528 Views
Habari ya hasubuhi wana JF, kwamara ya kwanza nikohapa na nimefurahi sana kua hapa leo. DHUMUNI Mimi ni mwandishi,mwongozaji na mwigizaji wa filam ( i.e, majira yote ). Nimekua...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Wapendwa nataka kuanzisha website kwa ajili ya vijana wadogo, kuwapa maelekezo ya malezi mema na shuhuda za watu waliofanikiwa kwa kuchunga tabia zao. Sasa nahitaji kupata jina nitakalotumia kama...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naomba msaada wana JF E-mail ni gmail lakini nimekua napokea notification kutoka Facebook na mitandao mingine ambayo nimejiunga sasa nahitaji kuondoa notification zisiingie kwenye E-mail. AHSANTE
0 Reactions
4 Replies
995 Views
Jamani kwa wale ndugu zangu wataalamu na wazoefu wa hizi mambo naomba mpitie hapa mnishauri kuhusiana na blog yangu NOLNIZ nyie mnaona kipi kiongezwe au kipunguzwe ili nayo iwe katika level...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Sina hakika kama hii thread ilishananzishwa hapa, kama ni marudio si mbaya! here we go! 1. Nenda Menu 2. Changua System Settings 3. Navigate kwenye Channel Search 4. Chagua Manual 5. Kisha weka...
4 Reactions
44 Replies
15K Views
naomba ufafanuzi kwa anayejua hatma ya sisi tunaotumia receiver na madish ya FTA itakuaje ifikapo disemba 31?
0 Reactions
3 Replies
986 Views
Nimetumia Os nyingi sana mazee toka kipindi cha java nkaja symbian, adroid, apple, bb os, but now nimerud tena kwe adroid. Kuna apps kama SPC hii app nikali kwa vicheche haipatikan kwe iphone yeyote
0 Reactions
9 Replies
2K Views
luckyman4u.wix.com/hackit
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari jf Nichukuwe fursa hii kukiri kuwa tangu nimeanza kutumia internet, sijawahi kukutana na internet ya speed kubwa kama hii ya airtel ya sasa, sijawahi. File la ukubwa wa mb 87 ndani ya dk 2...
0 Reactions
119 Replies
9K Views
napenda kutanguliza shukrani zangu za dhati kwa wale wote wanaotusaidia kuujua zaidi ulimwengu wa comp. Bila kupoteza muda modem yangu ni ya ZTE model: MF 190 imei: 865720012089832
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani mnisaidie kufahamu namba ya mtu anayekutumia hizi sms za airtel chat, maana sasa inakuwa kero kuna watu wanasumbua sana, nahitaji kuweza kufahamu namba za huyo anayenitumia sms hizi za...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba msaada, natumia laptop dell d610. Juzi imekataa kuchaji betri mpaka sasa. Unapochomeka chaja umeme unatumika moja kwa moja hauendi kuhifadhiwa katika betri, huwa naenda kuchaj betri kwa...
0 Reactions
0 Replies
658 Views
habari! Msaja kwa mwenye ujuzi nahtaji kujua ni vp nitaweza kuplya ps2 game from its usb drive. Mim nina fat ps2 ambayo ni multsystem ahanten
0 Reactions
0 Replies
834 Views
Nahitaji kuiunganisha sumsung c3312 na internet ya voda asanteni
0 Reactions
1 Replies
998 Views
Ni wapi naweza kupata laptop mpya hapa dar,processor i3 au i5, ram 4gb 500gb hardisk hp au dell,dukani au ya cross,asanteni.
1 Reactions
3 Replies
1K Views
:alien:Ni ISP gan ambao wako cheap kwa kuanzisha internet cafe jam:A S 465:
0 Reactions
1 Replies
776 Views
maisha na nyakati za abdulwahis sykes (1924 -1968)
1 Reactions
9 Replies
2K Views
wakuu,nimenunua galaxy tab 10.1,naomba kuelekezwa namna ya kupata connection settings ili nipate mtandao. asanteni
0 Reactions
0 Replies
790 Views
Back
Top Bottom