Samahani wadau naomba kuelimishwa kama ku-run slow au faster kwa komputa kunategemea pia aina ya antivirus. Nikitumia avast (free vesion) naona laptop yangu kama inakuwa slow, inaload muda mrefu...
Welcome all of you to code2gether http://code2gether.eu5.org, forum designed to connect together CIVE students (alumni and current students) and others interested in IT so we can share our IT...
Jamani mambo ya uc-browser kwa wale mnaotumia handsets,kitu bomba ktk kifaa chako.Ni application ambayo inakasi ya 3G(third generation)hata kama simu yako ni GPRS(general packet radio...
Hellow VodaCom team kunatatizo kwetu sisi watumiaji subscriber identity module or subscriber identification module ( SIM ) pale zinapopotea,kuibiwa ama kuharibika,inapotokea hivyo basi huwa...
naomba mnisaidie kw nini nikizima sm yng ynye lain ya tigo muda huohuo wife anapata sms kwmba mweny namba 0712...... Hapatikani hata km hajanipigia.nisaidieni kwn kuna muda nazima bt ninaumbuka.
Habari zenu wana jf nauliza ni quality gani nzuri kati ya hizi zifuatazo kwaajili ya kudownload file ktk youtube na kuli convart ili nili burn ktk DVD
1.FLV file quality 360p
2.FLV file...
Issue:
1.ku upload MS SQL database (kila kitu tables, views, procudures,...)kwenda kwenye hosting server
Naomba msaada wa detailed steps zinazohitajika kusolve issue #1
Limitation:
Njia pekee...
wana jamvi nimetafuta hii software sana ila sijaipata ya kudownload direct for free jamani kama kuna mtu anaeza kunisaidia pleaseeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!ZZZZZZZZZZZZ
Wandugu nina project zangu sasa natafuta software ambazo naweza kutumia kuendesha hizo project mfano cost analysis, cost alocation na zitakazo weza kuendesha kila kitu nikawa nakiona nakijua...
katika kusoma kwangu magazeti ya hapa Tanzania nimekuta mahali unaelezewa mtandao unaoitwa (mtandao wa BBM) kama yupo anaeweza kunifafanulia nitashukuru kwa kutumia dakika zake na kunielewesha.
Nina External hard disk yangu ya TRANSCEND but haisomi kwenye DVD player inayosoma USB, Kwenye computer haina shida yoyote. Naomba msaada please kwa mwenye ujuzi huo.
Hizi Dashboar ziko mbili tofauti, ipo ya Huawei kwa modem zote za Huawei, download dashboard
For all other Huawei dongles on Windows XP, Vista and 7 Download hapa here...
By EVELYN M. RUSLI and NICK BILTON | July 27, 2012
Apple, which has stumbled in its efforts to get into social media, has talked with Twitter in recent months about making a strategic...
inaweza ikawa habari mbaya au nzuri kwa nokia user mkuu maarufu kama chief mkwawa
nokia wameachia NOKIA N1 Inayotumia androids 4.0 with 41 megapixels za camera...
Pole na shughuli.
Samahani, Gushit Team tunaomba utusaidie maoni/mawazo yako katika idea yetu ambayo imefanikiwa kuvuka hatua ya kwanza ya African News Innovation Challenge(ANIC) ambao...
jamani naomba kuelimishwa, je nokia x2 ina os gani? au haina na kama haina je ninunue simu gani yenye os ya android iliyo na bei si zaidi ya tsh 200000 nawasilisha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.