Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
naomba wa key/code za software ya Advanced JEPG compressor 2012
0 Reactions
1 Replies
742 Views
avg internet business edition 2012, Advanced System Care Pro Latest Registered na zingine kibao piga mzigo toa maoni kama una tatizo utapatiwa ufumbuzi wa haraka vv
1 Reactions
2 Replies
1K Views
mi nnatumia Nokia 3110c na memory card 1gb tatizo ni kwamba nnashndwa kudownload video zenye mb kubwa mfano 20mb na kuendelea, ikijitahidi sana inadownlod video ya 9 - 12mb lakini nikijaribu 20mb...
0 Reactions
21 Replies
10K Views
Kampuni ya Samsung Tanzania, imezindua simu ya Samsung Galaxy Pocket yenye uwezo wa kufukuza mbu usiku, pindi mtumiaji anapowasha. Hayo yalibainishwa jijini Dar es Salaam na Mwanafunzi wa Chuo...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
nahitaji kujua bei ya new blackberry 8830 world edition hapa bongo. msaada wenu wakuu
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kama unahitaji kwa ajili ya kerspersky internet security hadi 2014 bonyeza hapo chini: http://adfoc.us/544607187193 password nenda hapa: http://adfoc.us/544607444964 Enjoy!!!!!!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani naomba msaada wa kuunga nisha computer yangu na simu aina ya nokia 6300, yaani niingize bando katika sim yangu alafu nitumie katika computer kwa ajili ya internate nitafanyaje jamani
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau nimerestore factory kwenye simu yangu aina ya nokia x2-01, internet aiaccess tena naomba kuelekezwa jinsi ya kureset natumia mtandao wa tigo nipo mbali na ofis za tigo nmejaribu kuwapigia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
nimeona watu wengi wanaulizia kuhusu kuwa na animated avatar. while unaweza pata animations nyingi kwa kutumia google, hamna kitu kinafurahisha kama kuwa na custom avatar yako, yaani with ur own...
5 Reactions
29 Replies
3K Views
REMOVED by User
0 Reactions
0 Replies
729 Views
Anaejua wapi naweza kuwaona mawakala wa hii co tz au namba zao za simu please msaada hiini kampuni ya South Africa nimewahi ona magari yao barabarani natafuta ofisi zao
0 Reactions
2 Replies
763 Views
Simu nokia n95, nimeinstall(save) vitu vichache sana inaniambia memory full,inakuwaje hali ina memory capacity ya 8gb? Tofauti na simu nokia 2730 ambayo nimeweka pics,video, na miziki mingi sana...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
wakuu habari zenu.. nimenunua moderm kutoka vodacom ambayo unaweza kuitumia kama wireless. moderm hii ni aina ya Huawei ssid: Vodafone Mobile WiFi na speed yake ni 7.2Mbps. nataka niichakachue...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Download this then open it follow the steps then tell me whats happening!
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Naombeni msaada wa kuunganisha simu yangu na computer, sim yangu ni nokia 6300.nataka kutumia kwa ajiri ya kutumia internate, yaani naingiza bando katika simu na kuweza kuunga nisha kwenye...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau msaada Flash Disk yangu inagoma kabisa kufunguka, ile taa nyekundu inayowaka haiwaki kabisa katika kila Computer ninayojaribu, kuna njia yeyote ninayoweza kutatua tatizo hili manake ina...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Related Content New Planet Found, Smaller Than … Thirty-three light-years away, in the constellation Leo the lion, astronomers say they have found a world considerably smaller than...
0 Reactions
0 Replies
803 Views
Nina SanDisk........inapicha naziona kwenye kamera lakini nikiweka kwenye card reader hazionekani...nimeenda kwenye hidden folder nimeweka sawa lakini bado hazionekani hivyo wanabody naomba msaada!!
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari wakubwa. Naomba kujua duka/mahali napoweza kupata contactless smart cards za MIFARE. Hizi ni smart cards zinazotumika kwenye access control mbalimbali kama vile digital locks, n.k.
0 Reactions
1 Replies
830 Views
Nauliza hiki kituo kinarusha matangazo kwa satelite? Kama ipo, huku mikoani tuipate kwa vipimo vipi?
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Back
Top Bottom