Helo, Naomba msaada tafadhali. Natafuta Hii cable kama inavyoonekana kwenye picha na matumizi yake. Je kwa hapo Dar es Salaam zinapatikana wapi na kwa sh. ngapi? Yeyote anayefahamu anijulishe...
respect great thnkers....jaman my pc ni mini laptop samsung, haina port ya cd, hvyo nimejarb kukopi kwenye flash, lakin inagoma kuinstal...sasa nauliza ni nn cha kufungua ktk list ya folders...
I would like to launch my website as soon as possible, the website should be able to store visual information that can easily be accessed.
Anyone with the ability to assist me kindly drop an...
REQUEST FOR PUBLIC COMMENTS BY A TANZANIAN WEB STARTUP IN AFRICAN NEWS INNOVATION CHALLENGE
Gushit is a Tanzanian based contents distribution and engagement startup operated by Jigambe...
habari wakuu?
nimedownload na kuinstall hiyo software ktk pc yangu.sasa tatizo ni kwamba na add hizo torents vizuri ili ziweze kudownload.lkn inakuwa hairespond chochote ht kidogo.nini tatizo na...
Habari wakuu,weekend inakwendaje pande zenu...Sasa wadau wa hili jukwaa naomba msaada wa ushauri wenu kweny hii blog yangu ya http://www.logozetu.blogspot.com/ Blog inahusu graphics designing kwa...
Kuna gari ninataka kuinunua ina engine imeandikwa D4, ila ni 3S, mafundi wananitaadharisha nisinunue, itanisumbua. Hawaweki wazi tatizo lake. Msaada kwa wanaoifahamu, je ina matatizo gani?
Habari wana jf hususan jukwaa hili la Science and Tech:
Ni kwamba window screen yangu ime-turn into black na inatoa hii message:
Windows 7
Build 7600
This copy of Windows is not genuine
Je hili...
Natafuta iDirect X3 Evolution modem kwa ajili ya KU-BAND VSAT Satellite internet connection.
Mwenye kuwa nayo au kujua mtu anayeweza kuwa nazo tafadhali nijulishe asap. Very very urgent
You...
Mimi kama admin:A S-key: wa NOLNIZ nawakaribisha wooote katika blog hiyo :welcome:
Ombi langu kwenu ni kwamba muwe huru kunitumia story yoyote ile yenye ukweli unayohitaji jamii iitambue na...
habari zenu wana jf, nina tatizo moja naomba mwenye utaalamu anisaidie. nina simu yangu nokia n96 niliinunua kitambo kidogo, sasa kila nikiwasha screen haiwaki zaidi ya kuonyesha mwanga mweupe tu...
Habarini wadau,
napenda sana kufanya project ya kufanya cartoon animation ,idea yangu ni kuchukua visa vyote ambavyo tunavifahamu kuanzia tukiwa watoto na kufanya cartoon animation...
Shalom. Juzi umeme umezimika mara mbili tatu Desk Top ikiwa kwenye umeme. Kuanzia hapo mashine imekataa kuwaka. Nikibonyeza kwenye power button inawaka rangi ya orange badala ya kijani iliyokuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.