ninafahamu sana vitu vingi vya tech lakin hapa nimegonga mwamba, anayejua naomba anipe ufafanuzi. Kuna Simu nataka nunua online inasema ina 3G kwa EVDO lakini haina HSDPA.
Je, TIGO/VODA/AIRTEL...
wadau habari tena, kuna hii site inaitwa hulu iko usa i guess, coz sio rahisi kuangalia video kama hauko u.s... sasa wadau kama kuna mtu ana proxy zetu zile zinazoruhusu kuwatch video za hulu...
JF wadau wa mambo haya ya transaction ya money online nataka kujiunga nayo sasa nataka kujuzwa namna inavyo fanya kazi kwa sasa natumia kale ka-benki ketu ka "twiga" sasa nitaungwanishawa ivi? na...
Havari za leo wanajamii??? computer yangu juzi hapa nimebadilisha windows ila tatizo nalokutana nalo kila mara napata meesage kuwa windows ninayotumia siyo GENUINE so inabidi kubadili product key...
Maprogrammer nawezaje kutumia printf kwenye java mana kwenye vitabu wanaitumia sana ila kila nikijaribu inaniletea error,kuna nini kinachoweza kuleta error wakati code ipo vyema kwa kila kitu
wakuu habari za kazi naombeni mwenye llink ambayo naweza kudownload game ya fifa 2010 au need 4speed tafadhali anisaidie nimejaribu ku google inaniletea vitu vya ajabu
hellow wanajf ni vizuri nikashare mazuri
na nyinyi website yangu nimehost bure
kwenye website ya kirusi wananipa 2gb ya
diskspace (kwa blog inatosha kabisa).
bandwitch wanatoa 100gb wana fast...
Wakuu,
Naomba kujua tatizo ni nini? Natumia Mozila or Google chrome na rarely Explorer kwa ajili ya shughuli zangu za internet. Naomba kujua ni kwa nini nikitumia Mozila Firefox nashindwa ku...
Wadau kuna taarifa nimeziskia juujuu tu eti kwamba facebook inataka kusitisha huduma zake hivi karibuni.so nataka nipate uhakika juu ya hili kama kuna yeyote anayeweza kunithibitishia hili plzz...
Binafsi napata vitu viingi sana kutoka thepiratebay.se, Mmoja wa vinara wa TPB Peter Sunde yuko kizuizini kwa kitambo sasa,wadau wameanzisha petition wanahitaji sign 100,000 (laki moja) katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.