Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wadau heshima Mbele Daima, nimepata kiajali kidogo iPad yangu imevunja kioo, wapi naweza pata pa kununua au yeyote anaeweza kusaidia nitashukuru
0 Reactions
2 Replies
988 Views
Nilikuwa nikiitumia kicheko na mwanakijiji.podomatics lakini kwasasa zote zinagoma kufungua kwenye simu ninayotumia. Msaada kwa anayezifaham tovuti nyingine tofauti na hzo anijuze. N.B Yasiwe...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau simu yangu aina ya NOKIA 1661-2 imejilock yenyewe.Nikiwasha inaniambia niweke security code,ambayo sijawahi kuweka.Nimejaribu kutumia default code bila mafanikio.Je kuna njia nyingine yoyote...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Newly released X-Files from the United Kingdom's National Archives reveal the role of that country's Ministry of Defense UFO Desk officers, what they actually thought about possible alien visits...
0 Reactions
0 Replies
732 Views
Computer yangu imekuwa attacked na TrojanDownloader:Win32/Adload.DA naombeni msaada jinsi ya kuondoa hilo tatizo
0 Reactions
5 Replies
2K Views
kumekua na maendeleo makubwa kwenye nyanja ya technolojia wenzetu huko marekani kwani hivi karibuni wameweza kutengeneza robot mfano wa wadudu wadogo wenye kuweza kuruka angani nakufuata masharti...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ello wakuu, za weekend? ningependa kufahamishwa jinsi ya kuconfigure a single laptop to be used as a main server. kuna a certain database program nimeinstall in my laptop nataka pia watu wengine...
0 Reactions
4 Replies
882 Views
msaada wa drvers za hp leaserjet 2018
0 Reactions
2 Replies
1K Views
ni kuhusiana na yale mambo yet yale xaxa hapa kwenye simu yangu nimeset poa ila mesej ninayopewa bada ya kuandika pale kwenye hme page ni welcome to ngix.hapa suluhisho ni nini wadau hapa kwa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wangwana, mwenyekujua duka amabalo naweza kupata battery hiyo anijulishe maana naihitaji sana wakuu.
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Heshima kwenu brothers and sisters. Nimenunua hiyo Tablet India wakati nipo kule nilikua natumia line ya Tata network kampuni ya kule kwa ajili ya internet. Sasa nimerudi nyumbani Tanzania...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
WANA JF KWEMA JAMVINII JAMANI WANA JF WALE WATAALAMU WA IT NISAIDIENI!!!! NINA LAPTOP TOSHIBA, Satellite, ina windows vista. tatizo lake ni kuwa, nilitoa Antvirus ya Avast na kuweka nyingine ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
msaada jinsi ya ku download,software,driverz,program,muviez,videoz...naomba msaada
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Nina machine aina ya dell xps 1210 ukiiwasha switch button inaonekana inawaka lakini display haionyeshi kitu,pili nimejaribu kucheki kwenye external display ili kuangalia kama display ina matatizo...
0 Reactions
1 Replies
710 Views
A strong and confidential password is essential, not just for financial sites, but for social networking sites too. With social networking sites like Facebook and Twitter, there's the danger of...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Salaam wakuu. Ningependa kujuzwa kuhus smartphone ya bei nafuu kwa hapa bongo regardless ya OS iwe symbian or android.As long as iwe ina support app ya whatsapp
0 Reactions
23 Replies
3K Views
wadau wa matkenolojia naombeni msaada wenu waina yte nimekwana nina dish na kimamuzi cha strong sasa kuna channel tatu tu zinashika nazo ni atlantic,sport na news basi zingine zte hman kitu mbaya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nimekuwa developer wa Joomla websites for sometimes now. But this seems frightening me. Nikitaka kuaccess Joomla back-end Login Form (Screen) haitokei napata sms Joomla! Administration Login...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
uwepo wa google unawapa recovery ya fast Motorola officially announces the Atrix HD LTE 1. Android 4.0 2. 8MP primary(1080p) and 1.3MP secondary 3. 1.5GHz dual core processor 4. 4.5-inch...
0 Reactions
4 Replies
835 Views
Wataalamu hebu nipeni maujuzi,nimenunua Blackberry bold 9900 kuna mtu kaniambia kuwa ninaweza nikaifanyia settings ambapo mtu aki iba ninaweza kuipata pale alipo,hii inakuwaje,mwenye kufahamu ani...
0 Reactions
4 Replies
984 Views
Back
Top Bottom