wakuu mnaotumia Iphone tujaribu kupeana maujanja hapa pamoja na kubadilishana applications na Intel kuhusu ios..
mimi natumia 3GS na mpaka sasa nimefanikiwa kuweka hivi hapa.
photo mail,
celeste...
inagharimu paundi milioni105. kwa maelezo zaidi ichek katika link hapo chini, na utoe maoni yako kama inakidhi bei ilotumika kuitengeneza ama la.
Most Expensive Website at £105 Million Questioned...
Ndugu wa wana gadget
Natafuta housing original ya nokia c6 nimezunguka kariakoo sijaridhika na baadhi ya housing nilizoziona mwnye kujua wapi original zinapatikana anisaidie kunifahamisha .
wakuu habari za kazi, Natumia simu aina ya IPHONE 3GS sasa kuna file la ICCID halipo na inaleta error ya NO SIM CARD and nadhan ilo Tatizo linatokana na ilo file la ICCID please kama kuna mtu yyte...
Internet speed is measured in kilobits per second (Kbps) or megabits per second (Mbps). Generally, higher speed services attract higher monthly rental fees. The bandwidth you can get is only...
Habari wadau,
Nina shida na EMS SQL Manager for MySQL..
Je, kuna link yoyote ambayo naweza ipata hiyo kitu for free?
au kama kuna mtu yeyote anaeweza nisaidia hiyo kitu itakuwa pouwa sana...
Wadau wa jukwaa hili, ningependa kuwaulizeni kati ya device hizo mbili ni ipi itamfaa mtu hasa mwanafunzi katika shughuli zake za shule/chuo bila usumbufu kwa kuzingatia utendaji kazi wa hzo...
Habari Wakuu.
Katika nyakati za hivi karibuni website ya TBC, yaani http://tbc.go.tz imekuwa ikilalamikiwa sana na wadau kwamba ipo chini ya kiwango na hairidhishi. Wadau kama Mtazamaji na Kang...
Wana Teknolojia,
habarini za asubuhi jamani? kwa kupindi karibu wiki tatu sasa laptop yangu inashindwa kusoma/kuonyesha youtube video and streaming. Inaonjesha chenga tu kamma TV ambayo haina...
Katika mlolongo huu wa makala za IP, tutaanglia juu ya maana ya IP, kazi na utendaji kazi wa IP katika lugha rahisi na yenye maudhui ya Kitanzania. Huu ni muendelezo wa mafundisho ya Sub netting...
Kwa watumiaji wa symbian, ingia waptanga.tk nenda sehemu ya symbian area. Kuna maelekezo ya kupata fonts zaidi ya 20 na kubadilisha mwenekano simu yako! Pili mwenye key za ku unlock LCJ Jukebox...
Wadau siku kadhaa sasa tangu nilipo upgrade software kwenye simu yangu, tatizo ni kwamba siwezi tena kudownload kitu kwenye app word. Inafunguka vizuri tu nikichagua kitu nidownload inaniletea...
Habari wadau! Naombeni msaada wa laptop yangu,kwani haiwaki kwa sasa.ni baada ya kuchomoka ghafla charger(adaptor),then nikichomeka adaptor kwenye laptop inawaka taa tu kwenye tundu la laptop...
Wadau nahitaji msaada wenu katika hili, nawezaje kuunga namba yangu katika maongezi ya mtu mwingine. Hii ni kwa mfano, mtu apigiwe simu, ila mimi pia nipokee ila nisiwe na uwezo wa kuingilia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.