Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
jamani vitu vizuri kula na ndugu zko kama unatatizo na IDM yko kuhusu ku register basi leo ndo mwisho nenda hapa Khurram's Softwares utakuta masoftware kibao yote yako poa unachotakiwa tu. usi...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
wadau nimepoteza blackberry phone jana kuna njia yoyote ambayo inaweza saidia kuipata?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
habari zenu ndugu!naomba ushauri wa simu yangu nokia 6234.nilikuwa na download applications kwenye internet sasa nika download dictionary baada ya kudownload ikakataa kufunguka ikabidi...
0 Reactions
1 Replies
939 Views
Msaada jamani.cooker switch inafungwa vipi?je connection kati ya cooker switch na jiko inakuwaje?je ukitumia 6mm itafaa?msaada tafadhari...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
hii ni siku ya 2 now ps2 yangu nikitumia ikifika dk 5-10 na kuendelea ina freeze after dat tv ina noise then ps2 inakata kwenye TV signal kama mtu aliyeizima wakati still iko on!! huwa natumia...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Wanajamvi naombeni yeyote mwenye links au mwenye Muvi za Blue Rays tafadhali anipe mwanga au anipatie Muvi hizo,Mi nipo Arusha ila hata ka ni Dar naweza kutafuta muda nikaja kuzichukua.Thanx in...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
guys help me nahitaji kujua proxy ambayo inaweza support download mediafire link, i been search for it about two weeks now without success
0 Reactions
0 Replies
835 Views
hali yako... Brother kuna inshu nilikuomba unisaidie kama ifuatavyo. 1.nini maana ya link 2.Ni vip naweza kuitumia coz naona watu wana2miana link mara link ya muvie ili a download muvie...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba msaada wa kuweza kufungua youtube, maana adress yake haifunguki kabisa kwangu!
0 Reactions
0 Replies
829 Views
Wakuu, baada ya kupokea maoni na ushauri mwingi mno, tumeamua kuirudisha AfroIT.com, hivyo tunaizindua rasmi hapo jumatatu. Utaweza kuipata kwenye linki ileile ya AfroIT - Elimu na mafunzo kwa...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
HI GREAT THINKERS, Nisaidie hilo kwa mwenye ujuzi. Cuz nina apps za .jar kwenye pc yangu nataka kuzi run but nashindwa.
0 Reactions
6 Replies
442 Views
Jaman wana JF nilikuwa naomba mnisaidie mealekezo ya nama ya kuunganisha simu yangu na internet(simu yenyewe ni Black Berry Curve 8310) plzzzzzzzzzz????????
0 Reactions
3 Replies
1K Views
WAKUBWA NINA MACHINE DELL OPTOPLEX GX 270 HAI DISPLAY kabisa lakini power supply inaingiza moto vizuri 2,nimesha jaribu ku change prosesa lakin tatiz bado lipo pale pale,,,,NAOMBA MSAADA
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu kuna mtu anajua hii kitu inapatikana wapi hapa dar? Na kwa bei gani?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
msaada wa program ya video editing,adobe photo shop,au msaada wa addres ambayo itanisaidia ku download program yeyote katika net.....
0 Reactions
1 Replies
830 Views
wadau naomba mwenye software ya ku operate kamera ya hp anisaidie nakosa uhondo kwa kukosa softwaremsaada pls
0 Reactions
0 Replies
858 Views
Wakuu msaada wenu, naomba mnijuze vitu ambavyo ni vya muhimu ili kuweza ku-operate website, pamoja na utengenezaji wake. Thank you... Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nisaidieni jamani,niko bush na tigo internet ni janga kabisaa! pls! hapa nimetumia kamchina kangu.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wana jamvi kama kuna mtu anaweza kunisaidia kupata hizi Videos za Word Press naomba msaada please, nina shida nazo sana.
0 Reactions
1 Replies
917 Views
Habari wakuu wa maujanja ya compyuta naomb msaada jinsi ya kupata drve za network za dell yangu nimetafuta sana bila mafanikio ila nikiweka modem inapga mzigo kama kawa niliweka win7 mpya last...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom