Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari wadau natafuta griver za mashine hiyo hapo juu nahitaji kuitumia kama printer kutoka kwenye pc lakini nikidownload driver zake zinakuja kama .zip zina shindwa ku execute mwenye link ambayo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wakuu nlikua naomba msaada wa software inayoweza kuburn svcd kwenye dvd deki yangu ni singsung nikiweka video kwenye flash inasoma ila sijapata jibu nkiziburn kwenye dvd
0 Reactions
0 Replies
833 Views
wakuu nlikua naomba msaada wa software inayoweza kuburn svcd kwenye dvd deki yangu ni singsung nikiweka video kwenye flash inasoma ila sijapata jibu nkiziburn kwenye dvd
0 Reactions
0 Replies
149 Views
Hivi inakuaje simu inaitwa smartphone au inakuwa feature gani? Na vilevile naomba kuelezewa kuhusu adroid n nini?
0 Reactions
2 Replies
976 Views
simu yangu ni nokia 5230 haisomi PDF life,lkn niki-download inakubali,baada ya kudownload halifunguki file. Nikitaka kufungua inaniandikia "unable to open,File type not supported" waungwana je...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Helo, wadau. nafungua blog yangu soon, still under construction.sasa nahitaji maelekezo ya jinsi ya kuweka icons mbalimbali na gadgets, on the sides..asanteni.
0 Reactions
0 Replies
969 Views
WanaJF nattmia simu aina ya Nokia 5130 XpressMusic. Kuna Theme nilikuwa nimei-save katika Memory Card sasa nilivyoitoa simu ikawa na uweupe na haikuzika wala ujumbe wowote haikunipa. Nilivyoiweka...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
TANZANIAN BLOG AWARDS RESULTS Special thanks to our viewers and all for nominating and voting for Knowcache to be the Best Science/Technology blog in Tanzania.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
msaada wa program ya zte join air wanaojua wanisaidie
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Heshima wakubwa, Naomba kufahamishWaa ni Jinsi gani naweza kupata huduma za dstv mobile wanazotoa vodacom,kwenye iPad. Nimejaribu inaniambia device not supported! Heshima mbele.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau naomba msaada wa mtaalamu nina modem ya tigo imegoma kuunganishwa inaandika ~ 687 Error: Remote could not respond# Nimejaribu hadi hoi. Mtaalamu anisaidie Asante.
0 Reactions
1 Replies
817 Views
Salama wakuu, yeyote mwenye ujanja anijuze,natumiaje bb network ku connect kwenye laptop au pc?kuna njia yeyote ile?naomba kujuzwa either kwa bluetooth au njia yeyote ile. Natamguliza shukurani
0 Reactions
5 Replies
935 Views
lap top yangu aina ya dell ina tatizo la cd rom kupotea. Nn cha kufanya?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wadau hasa wale walioko ktk medani ya IT, ebwana nataka kufungua net cafe lakini bado sijapata ISP kwa maana wengi wanazingua. Kama unamfahamu provider nzuri hasa kwenye price na speed niambie.
0 Reactions
0 Replies
940 Views
Nisaidien jins ya kuconnect airtel internet kwenye simu!
0 Reactions
0 Replies
550 Views
Habari zenu wana JF, naomba msaada wa kutatua hili tatizo kwenye flash yangu kwani kila nikiiweka naambiwa Your USB device is not recognized Nawasilisha.
0 Reactions
2 Replies
728 Views
Jamani naomba kama kuna mtu anafahamu maana nafanya setting ya outlook so naweza kupata email lkn siwezi kutuma msaada please.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ok kwa wale wa torrents this is your moment zbigz premium account for 48 hours jamaa wanaleech in seconds na speed ni amazing see the screenshot below. THE ACCOUNT! email...
5 Reactions
19 Replies
10K Views
habari wadau naomba msaada wenu wa kitaalamu kuhusu namna ya kuinstall sony vegas.Nimejaribu mara kadhaa kuinstall lakini nimekuwa nikikwama mara zote,pale inapodai serial number,nimejaribu namna...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wakuu naombeni msaada hapa, nahitaji ka software ka kudownload mp3, kiasi kwamba naweza kupakua as many as i can na zina download kwa wakati mmoja sio ile ina download wani wani songi afta anaza
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom