I salute you all!
I 've been wondering for a long time how to put pictures and other things on the body of an e-mail. I 'm not referring to a separate attachment.
Unfortunately, most web bised...
helo wadau, nina camera ya sony (SONY DCR-HC21E) zile zinazotumia mikanda midogo (sio memory card), nimeiunga kwenye computer haisomeki japo komputer inatoa mlio kuonyesha kuna kitu connected...
Hawa ni Wezi wa kimataifa Bado watu hawaja wastukia tu? Wa Nigeria wameniletea Barua yao hii kwenye Email yangu jamani kuweni Waangalifu sana na hawa Wezi wa kutumia internet Scam hebu someni hii...
Wadau naomba kama kuna mdau ana software ya kudizaini paa la nyumba katika 3D format, naomba anisaidie tafadhari!!
Nataka software ambayo ni rahisi kutumia, isiyohitaji degree ya architecture au...
1. recent news zinasema kwambba mauzo ya iphone 4 yamekuwa greatly affected na samsung galaxy na hivyo iphone kupata fundisho kwamba soko la simu sio la kuongeza vitu vya kawaida kama picha na vi...
freq ambazo tunaweza
kuchakachua kupata chanel za
itv na star tv kwenye
king'amuzi cha startimes
jamani kama kuna mdau
anazifahamu atuwekee nasi tulioko dodoma
tufaidike
Habari wakuu, sony Xperia X8 inauzwa kwa shilingi laki 3 na nusu. Mpya haijaguswa kabisa. PM kama upo interested. Inatumia android the lastest firmware and a very fast internet speed!
Sarcastic...
Jamani wakuu naombeni mnisaidie kwa hili nina shida sana,browser yangu ipo too slow nashindwa kuprocess mambo kabisa,naombeni mnisaidie!NATANGULIZA SHUKRAN
Boniface Meena
WIZI wa Kimafia unaofanywa kupitia mitandao umeichanganya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), kwa kuamua kuita kampuni zote za simu nchini, benki pamoja na mamlaka nyingine za...
Habari JF
dell latitude D531 napokuwa nafanya kazi au kuangalia movie imekua ikiganda au ku stuck mara kwa mara nini tatizo au nifanye kipi niondokane na tatizo hili msaaada pleaz
Ndugu wana jamii forum katika safu hii, naomben msaada, laptop yangu aina ya toshiba inaonyesha alama ya x ya rangi nyekundu kwenye screen ya baterry highlight. ma yanatoka maandishi yalio kwenye...
Habari wadau,
Naomba kuuliza kuhusiana na facebook, utaratibu wa kuweka picha ukoje? je kila mtu ana uhuru wa kuweka picha yoyote aitakayo? ninauliza hivi maana kuna huyu...
Nimekua nikijiuliza huwa yanatengenezwa vipi mpaka yanawekwa barabarani mfano mabango ya mitandao au vinywaji.
Kwahiyo kama unafahamu fanya kujibu hili swali na utanisaidia sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.