Hello wana forum,kama miezi miwili iliyopita nilipata link ya theft aware nikaidownload na kui activate kwenye simu, na ikawa kwenye stealth mode(haionekani kwenye menu ya simu). Tatizo ni kuwa...
oya magreat thinker ehhh,naombeni mnidondoshee keys za kaspersky ya 2012,nimedownload net napata nyingi nyingi ila zote miyeyusho tu,najua kuna wenye nazo nisaidieni bac mazeee manake kikmpyuta...
I have got a new i-phone 4s,
But I can't do much with it more than phone calls and sms!
I have tried some functions like internet---is too slow!
Camera--photo quality poor!
Sync with my computer...
Wadau naomba kama mtu aliye na soft copy za kitabu cha sensa ya taifa animwagie hapa,pia kwa wale watafiti je hapa TZ tuna asilimia za madaraja ya watu(social class) kwa mfano ma A,AB,C1,C2,D na...
Habari, mimi natumia simu aina ya NOKIA, ambayo ina uwezo wa kuwa na internet. Sasa nafanyeje kujiunga na mtandao?? natumia laini ya tigo. Naombeni kwa anayefahamu anaisaidie kwa hili.
Asanteni
Ndugu zangu nilinunua PC kwa wahindi miezi mi 3 iliyo pita. kila ninapo fungua inaniambia This window 7 is not Geuine please install a genuine one. Kila ninapo jaribu ku install inanipa option ya...
Habari zenu wakuu,
Nataka kujifunza programming language kidogo, its my hobby and also i have plans. Sasa nimeanza kwa kutaka kujifunza JAVA, ebana hii kitu i dont think kama ni nzuri kwa...
Wadau husika na headin above....mm ni mgreater thnker mwenzenu, nataka kupachase moderm ya airtel, naona kuna hizi za promotion na zile za elfu 70, naomba kujua utofauti wake jaman.
Wataalam hamjambo?Nahitaji kuanzisha biashara ya kuflash simu za za mchina na Nokia original.Je ninunue nini na nini kutimiza malengo yangu?je vifaa vinavyohitajika ni kwa gharama gani?Computer...
wakuu nawasalimu, natafuta betri ya computer aina ya sony VAIO, model PCG-5J2L, nipo dar, mwenye kujua duka linalouza hizi bidhaa na bei zake jamani nimechoka kutumia laptop kama desktop, naombeni...
Njia rahisi ya kuondoa watermark upande wa kulia chini ni kutumia small software inaitwa MY WCP WATERMARK EDITOR u can google it, ni rahisi kuitumia. Unairun kisha una restart ur pc na tayari...
je una idea za kutengeneza windows apps lakini haujui programming! Basi jua kuna software unaweza kuitumia kutengeneza apps bila kucode, inakuwa kama unatumia microsoft office kutengeneza apps...
freq ambazo tunaweza kuchakachua kupata chanel za itv na star tv kwenye king'amuzi cha startimes jamani kama kuna mdau anazifahamu atuwekee nasi tufaidike
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.