wadau, natumia wireless internet ya ofisini ambayo natakiwa kulog in kwa user name yangu na password yangu. hawa jamaa wa it wameweka restrictions na hakuna kutumia mitandao ya kijamii kama...
Hellos!
nahitaji msaada kwenye ipad ambayo imekua kama imelock na inadai password inaandika "Enter password for the CardDAV account "Yahoo" " ilianza kuleta hiyo message toka jana nikaachana nayo...
Jamani wenzangu watumiaji wa Zuku kutwa nzima leo sipati channeli ,ni kwraaa kila wakati,ni kama TBC wanavyotangaza habari,hali hii ikiendelea naenda TCRA nikawashitaki hawa jamaa kwani hela...
wana jf hz modem za huawei nying zna kubali ku2mia line yoyote endapo utakuwa umepata unlock code yake kupitia universal master code lakin hi imepgoma msaada plz ni e153
nimejaribu kuinstall hyo latest version ya ubuntu
nimefuata procedure zoooote lakini mwisho wake inaniletea message hyo kweye image
computer in dell latitude D620
Core 2 duo (processor)
60 Gb...
Inasemekana huo utaalamu wa kuonyesha mazingaombwe ya kuchinja mtu na kichwa kukiweka pembeni tena kwenye sinia au sahani ni utundu ama ufundi wa kujua kupanga vioo ndani/eneo litakalo husika...
How to Write the Text automatically in Notepad
Today I will show you " How to Write the Text automatically in Notepad" .
This is a really an Awesome Trick. You really enjoy it...
You can show...
Nadhani wengi mnajua au mlishawahi sikia kuhusu installation DVD za windows 7 ambayo ni universal. Yani kama ni windows 7 32 bits wakati wa ku install inakuletea options za kuchagua kama wataka...
wana jf ina maana hii link ya lile game la kumvua mwanamke nguo bado haija patikana humu jf ahhhh aacheni utani bana hebu tupieni hapa hiyo link au jina ya hilo game tujaribu ku google bana
jaman nimedownload opera min na uc browser kwenye hii samsung.but nikiopen uc browser inaload tu na opera inanambia ni review my network setings..kusema kwel sina mazoea kabisa na samsung...
Wakuu, hebu tudadavue kidogo hili swala!
IPAD 3 na ASUS TABLET COMPUTERS zina tofauti gani? bora ni ipi? Zinaweza kulinganishwa au kutofautishwa vipi katika katika ubora, utendaji, nk
Ikiwa mtu...
jaman hii samsung yangu nimedownload opera na uc browses lakin nikifungua uc browser inaload tu na opera inaniambia nireview my network setings..naomba kama kuna m2 mwenye uzoef na hii model...
mtakumbuka nokia ya mwisho ya tochi tuliekewa redio atleast na sisi masikini tukawa tunapita barabarani tumevaa earphone tunaskiliza redio kwenye visimu vyetu vya tochi nokia 103
Nokia kuna...
JF heshima mbele naomba msaada jinsi ya kuweka screenshot kama sijakosea jina yaani kuhamisha muonekano wa web page ninayo browse nikaweza kuiweka kwenye ujumbe kama hapa ninapoandika mtu akaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.