jamani wanajamii wenzangu naombeni mnisaidie, gadgets ktk laptop yangu zina display kama signal but does not give the complete picture of the gadgets. natumia window 7. so what can i do?
Kindly note there is a new technique used by robbers and carjackers to escape from arrest due to their criminal activities. They are collecting used scratch cards and once they abandon the...
Tanzanian Blog Awards competition is on and Knowcache has been nominated to compete for the best Science/Technology Blog in Tanzania.
Please vote for Knowcache to be the best Science/Technology...
HELLO
naomba help jinsi ya kutumi simu yangu kama modern kwenye laptop yangu if possible,,,,,,,., nimefatia online but imekuwa ngumu kuelewa,..
itakuwa poa kama nitapata msaada,,
by
me.,.
Je, Ni uhaba wa wataalam au ndiyo mazoea ya kupenda vya bure na rushwa!!
Tembelea website na blog za Bongo, ziwe za serikali, mashirika makubwa au za watu binafsi utashuhudia mwenyewe...
Duuh !! hawa jamaa wapo poa kwa hizi modem mpya Za huawei !! na sio ZTE wamechesha !! ila kwa hizi wapo poa !! mi naishi maeneo ya kibamba karibia na kibaha Ila speed ndo hiyo !!
nimeenda jana ofisi za startimes arusha nkawaulizia kuhusu kupata local channels kama itv jamaa wamenambia kuanzia tar 20 mwezi huu chanel zote zitaonekana ktk king'amuzi.
Here at its mysterious, last-minute press event in Los Angeles, Microsoft just confirmed it will sell its own Microsoft-branded Windows 8 RT tablet under the Surface badge. Measuring just 9.3mm...
wakuu naombeni msaada km kuna fundi au msaada wa kitaalam kuhusu modem yangu aina ya Huawei E 1550 nikiiconect kwenye PC haionekani kwenye my computer japo inawasha taa ya kuwa na power...
nahitaji msaada kwa wanaojua (technicians) nahitaji kuanzisha Website!
ila sio ya e commerce lakini, ya watu wa profession yangu kujiunga na kudiscus inshu zetu, pia wanafunzi wa profesion, pia...
Kwa wale wapenzi wa tablet Microsoft kaja nayo ya bei chee...kazi kwenuWhy Microsoft Surface could be the biggest shake-up in the tablet market since the arrival of the iPad - Yahoo! News UK
Kuna hili somo nachukua online la computer, ni la introduction na lina html na java scripts, nakosa kampani ya kujadili nayo codes na zinanisumbua mno. Ntafurahi kama ntapata wataalamu watakao...
Habari
nilikuwa nailiza haya makampun Kama Yahoomail, gmail,hotmail,vodamail na mengine mengi jamii kama hayo huwa wanapa faida gani toka kwangu mie mteja wao? Nilikuwa nahitaji jua!
Wakuu nina nokia C3,imewekewa Opera mini kinachonitatiza nashindwa ku-updates kwasababu option yake iko FENTI(hainiruhusu ku-updates)je nawezaje kufanya hivyo wakuu.msaada
Natumaini hamjambo.Nimenunua modem ya VODACOM aina ya HUAWEI-K 3565.NIMEJARIBU KUIFLASH ILI ITUMIE LAIN ZOTE IMEKATAA KABISA.PIA NIMEJARIBU DC UNLOCKER IMEKATAA.JE NITUMIE NJIA GANI?ASANTEN SANA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.