Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Zina maana gani? na je ni ipi inayofaa kwa hapa Tanzania? Je hizo carriers hubadilisha bei ya simu/ipad? Asanteni kwa ufafanuzi!
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Wakuu, kuna jamaa wako live sasa hivi tbc, wanaelezea hii technology. hebu tupieni macho huenda mkapata mawili matatu. Mliokiona kipindi hiki tangu mwanzo hebu tuelewesheni zaidi. Mnaofahamu...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Naomba msaada wa kudelete fb a/c kuna thread moja ilikuwa hum zamani nimeshindwa kuipata natumia sim! Msaada plz
0 Reactions
3 Replies
1K Views
habari wanajamii, naombeni msaada kwa mtu anayejua mahali napoweza kupata battery ya htc yota pamoja na housing yake.nita shukuru kwa msaad a huu wadau.ahsanteni wadau.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kila nikidownload wimbo au picha inaleta neno invalid web,tatizo nini au haina uwezo wa huduma hizo?
0 Reactions
1 Replies
786 Views
Nipeni maujanja bandugu sikioni kizimba cha mazungumzo, inakuwajeeeeeee!!!!!!!
0 Reactions
1 Replies
769 Views
wenye utaalamu naombeni maujanja. window 7 zipo za aina nyingi, je ipi ni bora kati ya professional Vs basic home?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nilitafuta materials humu JF ambayo yamenisaidia ku-set dish/LNB na kupata ITV,Star TV,EATV,Capital na TBC1. Naomba msaada (summary) namna ninavyoweza ku-set LNB(C-Band)ya pili ili niongeze...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natafuta mzoefu wa SQL SERVER anisaidie kwa mapatano ya kulipana masaa Naomba anijibu kwa private message ili nimpatie simu yangu Asante
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Heshima kwanza. Naomba kuelekezwa namna ya kutumia hizi download manager pia naomba kufahamu zinatofauti gani kati ya hizi za bure na zile za kununua niliwahi kudownload moja ya bure lakini...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
jamani nina shida na join air free software nisaidien
0 Reactions
1 Replies
785 Views
Scientists from the U.S. Department of Energy’s Lawrence Berkeley National Laboratory (Berkeley Lab) have developed a way to generate power using harmless viruses that convert mechanical energy...
1 Reactions
2 Replies
911 Views
Jamani laptop ikikwambia hivo ndo tatizo linatatuliwaje?Mana inaonesha ka x kwny battery pale chini kulia full time.. Natumia acer na ina window 7,je tatizo hili hutokea pia kwa aina nyingine...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
http://tunein.com/tuner/?StationId=158711&#
0 Reactions
3 Replies
1K Views
How 2 activate my facebook account, pliz help me people
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Tafadhali tembelea www.rahatz.tk kwa njia yoyote iwe mobile au computer. Kisha unipe mtazamo wako. Nimpya na yawezekana inamakosa. So utakuwa umenisaidia
0 Reactions
40 Replies
4K Views
nina laptop ya lenovo,nataka kuinstall windows,nikiweka flash inakopy vizuri mafile,wakati wa kustart inaleta blue screen,yenye error stop: 0X0000007B.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
window media centre ndo inafunguka napofungua kila programme.what do i do?
0 Reactions
1 Replies
747 Views
ivi kuna chie mkwawa wawili wawili au ni huyu huyu mmoja? kama wapo wawili yupi ndo gwiji letu la hii section maana nilitaka kumpm nikagundua wapo wawili. msaada tafadhari
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndo hivyo wadau kama kichwa kinavyo elezea.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom