Ndugu wana jf hawa airtel ni wazushi kwenye tangazo lao wanasema buy airtel modem for 30000 and get free internet for 6 months. Na vigezo vyao ni kwamba utumie si chini ya 6000 ili upate hiyo...
Kila kitu kilikuwa sawa, lakini tangu jana Laptop yangu imekataa kabisa kufungua videos za aina yoyote za Internet. Nimegusa pasipotakiwa au imekuwaje. Naomba msaada wenu wataalamu na wajuzi...
Support !! Nna BB 9800 torch ...inashindwa kuplay yotube video nashindwa kuelewa ni kwann !! Service provider ni Tigo !! na application zote husika !! Sasa nashindwa kuelewa tatizo ni nn haswa ...
IMEI code :- *#06#
Help Menu :- *#9998*4357#
Java menu (GRPS/CSD settings for JAVA server) :- *#9998*5282#
Monitor Mode:- *#9999#0#
Software Version :- *#9999# or *#9998*9999#...
Can smbody out there plz help me with codes za ku-update my antivirus za kerpesky 2012. Niko porini huku nahudumia wadanganyika na cna mchongo wa kuja mjini karibuni. Thanx in advance
I am doing a research on the interconnect switching technology applicable to financial institutions similar to The Umoja Switch Project where by;
business transactions from various banks/financial...
Wadau
natafuta LCD (kioo) cha simu hiyo hapo juu simu inawaka lakini
haionyeshi kitu fundi kadai LCD mbovu nimetafuta sijaipata nawezaipata
wapi nipo Mwanza
Habari zenu,mi naomba kwa yeyote mwenye utaalamu na compressor anaisaidie,friji yangu imeharibika hiyo copmpressor sasa mafundi wameniambia zipo used na mpya je ninunue ipi tafadhali nisaidieni.
wana jamvi naomba mtu yoyote mwenye ujuzi wa kuchakachua moderm hizi
1.(voda)ZTE model: k3565-z
2.(airtel)HUAWEI model: E173
Natanguliza shukrani kwenu.
Natafuta kwa masomo haya(ADV. DIPLOMA) Database Design and Development(DDD) Office Solutions Development(OSD) na Dynamic
Website(DW) mwenye nazo anijulishe niko teyari kuzinunua
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.