Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Mwenye drivers z hp anisaidie tafadhali
0 Reactions
1 Replies
717 Views
Kuna program nimeiona,ina uwezo wa kumuwezesha mtumiaji kufanya kazi ktk computer yoyote ile ambayo atakuwa ameinstall prgrm hiyo,kama kuna mtu anaweza kuielezea na kunipa muongozo wa namna ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanabodi, habari zenu Nahitaji kufahamisha kuhusu vitu vinavyotumia umeme kwa matumizi makubwa zaidi, naishi katika nyumba ya kupanda hivyo tumeshindwa kupangiana kiwango kutokana cha fedha...
0 Reactions
20 Replies
14K Views
hi wanajamvi jamani nataka kujua tofauti au umuhimu wa google crome na internet explorer. Nilikuwa nataka kufungua internet kuna jamaa yangu akanambia fungulia kupitia google chrome badala ya...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Naomben mnisaidie jaman na modem model e153u-2 ya airtel kume kuwepo program ya kuichakachua kwa mda tu na sijui nifanyeje huku niliko vodacom kidogo ndio afadhali airtel ipo weak sana. Naomben...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
wandugu msaada wenu please
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Microsoft's licensing of Windows to PC manufacturers has been one of the most profitable businesses in technology history. The software giant's Windows division posted sales of $4.6 billion last...
0 Reactions
0 Replies
643 Views
Upending one of the world's most successful business strategies over the past three decades, Microsoft has developed a Windows tablet computer of its own design.The company on Monday unveiled the...
0 Reactions
0 Replies
694 Views
Modem yangu ya vodacom nikiweka katika laptop yangu hadi juzi ilikuwa inapiga kazi safi kabisa lakini sasaivi inaload vizuri mpaka kufikia hatua ya mesej ya ku connect lakini nikijaribu ku connect...
0 Reactions
3 Replies
864 Views
zamani tulitumia 0.facebook.com kufungua proxy kunako vodacom ambayo waliifunga. naomba mwenye kujua mpya anisaidie kupitia PM.naona wamepinguza gharama eti 5mb sh 250 nk lakini tunatafunwa sana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba Msaada kwa hilo coz fone huwa inajizima na kuwaka yenyewe wakati ukiwa unatalk au unafanya ishu zngine tatizo ni nn? Msaada pliz kwa yeyote anaejua
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Mara kadhaa nimekuwa nikipata msgs km hii za watu wanaohitaji msaada, hasa wa matibabu: ... The only way they can help us is this way, I send this email to you and you send it to other...
0 Reactions
1 Replies
957 Views
Wadau wa jukwaa habari zenu Tv yangu ya Samsung Flat screen imezima ghafla na sijajua tatizo nini. Ukiiwasha inawaka taa ya power ile nyekundu kwa kubeep yaani inawaka na kuzima baadae inazima...
0 Reactions
9 Replies
8K Views
Nina Camera Canon IXUS 9515 imeleta mushkeli kidogo ,ukiiwasha lenz haitoki muda wote ,na display yake haionyeshi. sijaiangusha imeanza ghafla ,fundi mtaalam niPM ama nibeep 0655123683/0759123683...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wakuu? It works 100% , tested using Opera Mini & Uc Browser. Here we go: Type www.facebook.com/home.php in your browser's address bar. You will be directed to the mobile login...
0 Reactions
7 Replies
447 Views
wazee kama kuna mtu amefanikiwa kununua hizi modem za airtel zinazo nadiwa kila siku kwamba zipo na free internet ya 6month basi anijuze maana huku niliko bado bei mkasi ile mbaya ati!
0 Reactions
8 Replies
1K Views
naomba mwenye maujuzi anijuze maana simu yangu inashinwa kuwa detected kwenye pc,nashinwa kuweka music na mambo mengine.haina memory card,ina only internal memory.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wakubwa! Naomben msaada wa proxy' mwenye nazo afanye kuniPM si unajua hapa jamaa hawachelewi kuzinyaka. Naomben msaada wakubwa. Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wana jamvi nimeamua kuuza laptop yangu aina ya macbook apple version ya 10.5.8,processor yake ni 2Ghz na ram ni 2GB.Haina tatzo lolote ila naiuza kusolve personal issues.anahehtaj anipm au...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
WanaJf, mtu yeyote aliyetumia, au kuijua NOKIA C2-03 anijuze ubora wake au ubaya wake
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom