Ninawebsite http://rahamix.tk ila nataka kubadili na kuifanya kuwa .com badala ya .tk
Kama unafahamu host wa bure tafadhali nisaidie link
*kama hufahamu naomba uanze kulazimisha kuwa hakuna.
Kwa wale wenye blogs za Google, sasa unaweza kuandika blog yako pamoja na kuweka picha ukiwa mahali popote pale. Hii ni kwa wale wenye smartphones au tablets. Kwa maelezo zaidi bofya hapa:
Blogger
Since the protocol that runs the world wide web – the HTTP protocol – is open and viewable to the entire world, anyone with the programming knowledge is able to write their own web...
STEP:
1. Open Notepad
2. Write: SHUTDOWN /f /r /t 2
3. Save the file: Test.BAT
4. Copy file to C:\ProgramData\Microsoft\Windows\Start Menu\Programs\Startup for Windows 7
5. Restart your...
Habari zenyu banaaa.,
Ebana naombeni mnisaidie, nataka kujua kama Tanzania now kuna makampuni ambayo wanatoa huduma ya Internet ya 4-Generation.
Kama yapo, ni kampuni gani hiyo?
Wadau naombeni mnisaidie mifano ya programming languages zinazoangukia katika makundi yafuatayo
1. 1.EVENT DRIVEN LANGUAGES
2. 2. OBJECT ORIENTED LANGUAGES
3. 3. STRUCTURAL...
Wakuu wasaalamu nina simu ya htc chacha touch screen yake imegoma gafla ingawa keypad zake zinafanyakazi kama kawaida mwenye ujuzi na haya mambo anipe maelekezo ni tatue tatizo au anielekeze fundi...
wadau,niaje? kuna Njia Rahisi Ya Ku hack your Nokia Symbian phone To avoid Certificate Errors Once you hack your phone Utaweza kuingia Signed and Unsigned Apps..So kama Unataka i can help you ni...
Wadau, kuna mtu hapa anaweza kunisaidi kuinstall software ya Blackberry niliyotaja, nataka ku upgrade simu yangu
Nitamlipa, niko Dar, kama unaweza tuwasiliane
Heshma kwenu wadau.Nimeweka window xp kwenye computer yangu then nkaweka vlc na windo media zimekubali kuwa installed ila tatzo haziplay movies wala music.Nifanyeje? Ushauri naomba.Asanten
Kwa heshima wanajamvini naomba msaada wa list au majina ya EDUCATIONAL COMPUTER GAMES ambazo naweza kudownload kwa kupita utorrent au vinginevyo na game hizo ziwe zinawafaa watoto wa kuanzia...
Jamani kuna mtu anataka kuchkua notebook used..sa ananiona mi ndo mtaalam kichz so ananambia nikamhakikishie kama ni nzuri/bora ama la kabla hajachukua ili asiende chaka..
Sa naombeni...
Kwa sisi tusiyo na uwezo wa kununua LED TV's,JE KUNA Mtu anayefahamu UBORA WA ZEC TV? Hasa matoleo ya kisasa ambazo hazina tube kubwa nyuma. Kwa ambaye anafahamu uzuri na mapungufu yake tafadhali...
WAKUU KWANZA NIWAPENI POLE KWA UCHOVU WA KAZI. WAKUU NINGEPENDA KUELEKEZWA NI KING'AMUZI GANI NINACHOWEZA KUPATA Tv ZOTE ZA KIBONGO kabla sijafanya manunuzi. Tafathalini msaada wenu.
Nina fllash xbox 360 console kuwezesha console yako kucheza game za copy. Unaweza kudownload games toka GamesTorrents - Bittorrent Juegos PC PS2 PSP XBOX360 na kuzi burn mwenyewe kutumia Dvd za...
Wakuu mambo vp? Kuna hii yotube nimeidownload kwenye simu yangu ya samsung gt 5830i ninaitumia kudownload nyimbo na muvi ila tatizo lake ni kuwa inapodownload haiumalizi kabisa wimbo au inagoma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.