Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Simu ni aina ya Nokia C3. Browser la simulinatoa response "service not allowed" kila nkijaribu kudownload. Nifanyeje jamani?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
*#06# To check the IMEI. *#0000# To check the firmware version and date *#92702689# *#war0anty# To check the IMEI. The date when it was purchased and the date when it was repaired. *4720#...
0 Reactions
23 Replies
9K Views
Ni vema sana kusikia hata kwa kias kidogo Africa Mashariki kuna watu wanaoweza kutengeneza Vitu ambavo hapo Zamani ilikua ni ngumu kusikia vimetengenezwa Africa Mashariki. Wailianza kutengeneza...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
The Recording Industry Association of America's CEO, Cary Sherman, testified before Congress today on "The Future of Audio." Although the minutes of the hearing aren't yet available, Sherman did...
0 Reactions
10 Replies
393 Views
specification ni nini? na ni zipi hizo? saidia
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Habari wakuu, natafuta external hard disk yenye ukubwa wa 500GB kwa bei nafuu, kama kuna mtu anauza, au kujua mahali naweza pata nzuri na kwa reasonably cheap price.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
THIS I FOR DUCATIONAL PURPOSE AM NOT LIABLE FOR ANYRYHING Ok guys najua wengi mnapenda taaluma ya kuhack facebook well nimeamua niwamwagie hiv vi2 FOR EDUCATIONAL PURPOSE. Well its easy njia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
zipange kwenye ms word ascending iwe kwa rows AU descending # 12 23 45 34 54 87 78 56 naomba njia uliyotumia
0 Reactions
4 Replies
997 Views
Wataalamu nitapate wapi picha za kuchezacheza ili nami nipachike kwenye Facebook au JF account.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Apple the company behind the highly successful iPhone and iPad are having a “World Wide Developers Conference” event today at 7:00 PM Dar es Salaam night time. Rumors are that they are...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Katika kile kinachoonekana kukabiliana na uharamia, tigo wameamua kupambana na uchakachuaji wa modem zao kwa kubadili firmware ya modem hzo na kufanya kaz ya kuchakachua kuwa ngumu kdogo. Kwan kwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mwenye hii OS anisaidiee nilikuwa naitumia ni nzuri sana ila computer imeloga
0 Reactions
4 Replies
882 Views
Simu yangu ni Nokia 5700 nauliza kama ninaweza kuchek tv kwenye simu na taratibu za kufuata samahanini kama heading yangu itakuwa imekaa vibaya tafadhal nisaidieni
1 Reactions
8 Replies
5K Views
Wataalamu wa Tech hebu niambieni mtu akiwa na Decoder ya DSTV south africa au kenya kwa mfano akailipia mwaka mzima akaamua kuja nayo tz... inakuwaje? lazima aripoti dstv TZ? lazima alipe upya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
wadau nmekumbuka sana v2 nlivyofanya ile cku ya kwanza nakumbuka nlitumia windows 95 ku paint ua je wadau wengine hivi siku ya kwanza mlitumia computer kufanyia ki2 gan?
0 Reactions
10 Replies
1K Views
kwa wake watumiaji wa startime naona wameamua kuiweka ubc free maana hata kale ka symbol$ wamekaondoa,pia nimejaribu kuondoa hata kadi bado inafanya kazi.pia wametangaza kuongeza channel ya atn...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Eee Bwana nimeshangaa kweli kukuta JF iko kwenye Android, Nilijaribu kubahatisha tu mara hii hapa! Nimejaribu kuitumia kwenye Galaxy yangu inafanya fresh japo kuna machache ya kurekebisha, mara...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Africa's first 4G LTE network in the 800MHz frequency band to deliver services such as videoconferencing and multi-user Internet gaming in Dar es Salaam, with plans for expansion during 2012...
1 Reactions
2 Replies
5K Views
Jamani, kamchina kangu ka xpres music orijinal,teh nikijaribu kuingia net,kanaandika "error/java/lang/error rtatic initializer: Java/lang/runtime exetption/RMS ERROR Error while...
0 Reactions
2 Replies
833 Views
Star TV wametangaza kuanza mwezi wa tisa kurusha matangazo yao kwanjia ya Digitali. Si tujiandae kwa lipi, najiandae kuachana na lipi.
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom