Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wandugu, Habari, Nina mpango wa kununua Receiver ya MPEG 4 HD hapa Dar Sasa nahitaji kujua yafuatayo: 1. Ni aina gani ni nzuri kwa ubora? 2. Bei yake ni sh. ngapi? 3. Naweza kupata wapi? Mungu...
0 Reactions
49 Replies
9K Views
Ninajuliza hivyo tukiwa tunaekea bunge la bajeti wiki ijayo. Ni kwa nini RTD haisikiki online? Je ni gharama sana, hamna wataamu, uzembe au hamna maslahi ya kibiashara?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau wa jukwaa hili hivi juzi rafik alikuja kwangu na kunieleza kuwa kompyuta yake inamletea ujumbe huu: "windows is corrupt, run chkdsk". Niliingia mtandaoni na kutafuta solution, nilikutana...
0 Reactions
0 Replies
843 Views
Hii ndio raha ya Ku-master kuitumia Adobe After Effect.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndugu zangu, nimejiwekea ka sh 450 kangu kwenye tigo ili nipate 50MB, dk 15 za maongezi na sms 100. Sasa nisaidiwe tafadhali najuaje salio kwa kila moja kati ya hizi huduma nikiwa nimetumia kwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
This weekend...for all programmers and those loving Programming. Do you love programming? Do you see a problem in the community that you can solve using IT? Then... This is the event for...
6 Reactions
31 Replies
3K Views
Hello Tanzanian Software developers! After the successful Hackathons around Africa which saw some amazing applications built, there will be one in Dar Es Salaam too! It’s being organized by the...
1 Reactions
1 Replies
818 Views
habari,je ukitaka kutengeneza system kama ya library management au hotel management system unafanyaje?natangliza shukrani,nauhitaji msaada wako kama unafahamu.asante
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimejiunga na dstv siku si nyingi zilizopita. Napenda kufahamu ni aina gani nzuri ya high definition television yenye bei nafuu/nzuri hapa bongo. Hii ni kwa sababu nimekuwa nikitumia tv ya kwaida...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Nisaidie jinsi ya kuweka silide show ya picha kwenye blog yangu.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Guys naomba msaada, nna modem yangu nilikua naitumia ya voda kuna muda mrefu kdg ikaanza kunigomea, ukiichomeka hairespond, ikirespond salio huwezi kuweka yani balaa na kasheshe juu niko korogwe...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari yenu wanatechnolojia... naomba mtu aliyewai kutmia au anayetumia googleads anieleze ni kwa namna gani inalipa nataka nianze kuitumia.. Asanteni sana
0 Reactions
0 Replies
841 Views
Wakuu habari zenu, Naomba msaada wa ku-install games kwenye ipad2 yangu. Nijuzeni njia rahisi kutimiza zoezi hili. Asanteni
0 Reactions
2 Replies
786 Views
nimekumbwa na tatizo hili kwenye simu yangu nipeni solution waukweli.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimeona baadhi tablets kama HP Slate2 ambayo tayari in Windows 7. Je naweza kuinstall Windows kwenye tablet ambayo hainayo tangu awali? Natanguliza shukurani kwa michango na misaada yenu.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
hi guyz kunam2 kaniletea hyo cmu aina ya palm treos 750 ambayo inatumia huwa inatumia windows mobile lakn hii nmekua ina os ambayo co windows na cjui ni aina gani! Msaada nahtaji kupata maelezo on...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nokia today expanded its Asha line of touch-enabled devices, with three new "smartphone-like" models. The Nokia Asha 305, 306, and 311 expand the phone line, which was first introduced by Nokia...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau nna mdogo wa shangaz yangu hapa anasoma huku shule flan sekondari frm 3 mara kadhaa akitoka shulen huwa analalamika eti mwlm wa physics ana gonga stiki kwa vpimo flan na fimbo yake ni...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
The use of cyber weapons that target Iran - such as the recently discovered Flame virus - are "reasonable", a top Israeli minister has claimed. The new malware, discovered by a Russian...
0 Reactions
3 Replies
903 Views
Back
Top Bottom