Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wadai anayejua software ya blackberry ambayo naweza ku-subscribe kwenye rss feeds kama jamiiforums naomba anisadie..Nimejaribu kudownload kadhaa naona nikiweka url ya jamiiforums naambiwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Simu yangu ni sumsung GA867 nataka kuacces airtel internet lakin mpaka usave katka browser profile! Ya tigo nimeweka znakubali vizuri lakini ya airtel sizifahamu! Anayezifahamu browser setting za...
0 Reactions
0 Replies
736 Views
Naomba kujuzwa simu kali za zilizo kwenye chat kwa sasa maana nimeambiwa ni bb torch na sumsung galax je ni kweli? Na kama kweli ni ipi bomba zaidi. Asante.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Baada ya kuinunua kampuni ya Meebo, Google wameamua kusitisha huduma zake za Meebo Messenger. Huduma zitafungwa rasmi July 11th 2012, hii ni pamoja na Mobile Apps zote za Meebo...
0 Reactions
0 Replies
841 Views
Ngugu, poleni na majukumu yenu yanayowakabili kila siku. Naomba msaada wa cd key au any genuine key ya windows 7. Napata taabu sana kila siku natumia windows 7 loader na Remove WAT lakini kila...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
wadau nlikua naomba msaada hv dekoda gani ni nzur nataka nkamate chanel nyingi?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
WhatsApp Vs Kakaotalk Vs Skype.... Hapa naona Kakaotalk wins.. Kali vibaya, feature iliyobaki ni videocall
0 Reactions
1 Replies
808 Views
Ninatumia Euro sola '14 Ila tangu jana naona usiku haikamati stesheni hata moja. Labda chanzo kinaweza kuwa nn ndugu?
0 Reactions
3 Replies
938 Views
Wengine mtasema niende course, nasema hapana, nataka nijue kujiunga na hawo watoa .com, au .tz n.k siasa jamani hapana
0 Reactions
8 Replies
2K Views
wadau hii huwa inanisaidia kwani inaplay files za aina zote, tatizo ni kwamba niki install, program mpaka file zote zinafunguka na vlc...mpaka nikifungua browser inafungukia kwenye vlc player. Je...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
wadau nadhan weng mmemaliza f6 na wengi humu hata hamkufikiria kuigusa pgm mana mlijua ni kombi kiboko hivi had saiz kuna kombi ngum kama pgm n.b nimepiga eca koabi rahc WADAU NAITAJI FEEDBACK
0 Reactions
75 Replies
15K Views
wadau kuna ka software kana uwezo wa kui tunnel internet connection yako unavyotaka mwenyewe. ina support host TCP na UDP protocols. unaweza ku bypass firewall na restrictions. wanatoa 15 days...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
hii ni new messenger kama watsap na nimbuzz sema imeongezeka features kidogo. Ina vitu muhimu vi tatu mpaka ikanivutia kuipost hapa jamii forums 1. Utatuma message na kupiga simu bure kwa...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari yenu wadau! Natafuta kifaa kinaitwa "CABLE MODEM"... Nimejaribu kuzunguka maduka kadhaa kwa hapa Dar; but nobody has it or even seem to know it... Nimeweka picha ya hiyo device hapo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
PES 2012 Hususani wanayoitumia kwenye computers huwa inafreeze ikifika ila sehemu ya avatar editing...mwenye solution ya hili tatizo naomba msaada plzzz!!!
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Naomba msaada ktk Biology: Hivi jogoo anawika kwa hiari au ni kwa silika kama tunavyopiga chafya binadamu?
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari za wakati wakuu!? Nna cm yangu (NOKIA 3120classic) shida ni kwamba kila nikitaka kudownload Game la GTA IV (1303 kb) linagoma naandikiwa "file is too large to be stored" nifanyeje ili...
0 Reactions
12 Replies
24K Views
natumia nokia e51 ila kila nikitaka kutumia au kubrowse mafail yaliyopo kwenye memory card kwa kutumia usb inaniandikia memory card is being used by another aplication...
0 Reactions
3 Replies
988 Views
wadau wote wapenz wa mambo ya hacking hivi kati ya hizi nchi nani ni kiboko cha mkolon in hacking tactics, au unaona kuna nchi gan nyingine ni noma?
0 Reactions
15 Replies
2K Views
wadau wote wapenz wa mambo ya hacking naomben mnijuze nchi anbayo ipo fiti hacking tactics, je umegunduaje?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom