Helow greaters, huwa watu wanaweka misaada mingi humu, mi nae cna uchoyo, kwa wale wenye cm download browser inaitwa UCbrowser...ukiisha iweka fungua homepage, then nyuma ya chata ya facebook...
Hamna haja ya kuhangaika na Ad-Hoc tena. Pia unaweza share kama Wi-Fi Access Point kama una w7 na inafanya kazi na Adroid phones pamoja na Blackberry. So hamna haya ya kupoteza hela kununua Mifi...
Habari zenyu wana jamii kama kawa nimekuja na vitu ni share na wanajamii wenzangu nimeona ili tatizo hau hii kitu kimetesa sana watu sana
sana walionunua modem za tigo hivi karibun na kutaka ku...
wadau naombeani msaada wa kupata Display ya TOSHIBA satellite L500 ya inch 15.6. kama unayo ww au unaweza kunipa mwongozo napoweza pata hapa DSM itakuwa poa. Call 0714472920
Probably and just not necessarily true lakini ni notion ambayo, labda kwa uvivu tu au kutokutaka kushughulika, vijana (sio wote) hasa wanafunzi wa Kiafrika wanayo. There are those who argue that...
Nina camera yangu aina ya Nikkon lakini nikipiga picha haziendi kwenye memory card, pia haitoi flash light..
Naomba kwa anayejua anisaidie nifanye nini..
Habari jf,
Ningependa kujua kama kuna mtu ana habari juu ya nini kinaendelea huko katika yahoo kwani ni wiki sasa haitaki kuniruhusu ku sign in, kuna mwingine ana-experience the same au ni mimi tu?
Wataalamu naomba mnisaidie hili, hapa ofisini mi natumia computer HP with window 7,shida yangu ni kupata recent documents za WORD ambazo nimezifanyia kazi karibuni, labda jana tu jioni. Sasa...
Wanajamii nitaweza nika install version ya 4.3.3 kweny ka iPhone Gs kangu? au ni version gani nzuri(isiyokuwa na usumbufu) wa kuinstall kwa hii iPhone? msaada tafadhali currently simu ins version...
pc yangu haipeleki moto ktk monitor ukiwasha inawasha kama indicator ktk kile kitaa chake.......
hii monitor ukiunga na pc nyingine inawaka.......tatizo nini wakuu?????
DELL LLATITUDE D610, RAM 512MB, HDD 40GB, PROC. 1.7GHZ
BETRI INAZINGUA HAIKAI MORE THAN 15min, IPO KTK HALI NZURI, USED.
BEI THS. LAKI 2.5 TUUUU.
0759950757
PA1
Jamani kasimu kangu ni aina ya SAMSUNG GT-C3212. Huwa baada ya muda fulani kuna ujumbe unaotokea unaosema DNS unavailable, then nabonyeza ok, message inaondoka, lakini baada ya muda fulani...
Ninatumia reciver ya media com 910 kupitia LNB ya C Band ya juu inakopatina ALJAZEERA nimeweza kupata channel za ziada na signal zake ziko full kuanzia signal 50% hadi 98% lakini zinatoa message...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.