Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Nimebaini leo asubuhi kwamba web application ya TCU imekua hacked ... aibu kubwa. Jaribu kutembelea cas.tcu.go.tz kujionea. Jamani kama kuna wataalamu wa IT wa TCU humu watoke waende wakarekebishe...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Hello guys, i need your ideas on how to trouble shoot the computer when it not starting & also give the source why it not starting while all power cables are active?
0 Reactions
1 Replies
749 Views
Nimedownload version 4.2 ya iphone 3G,wakati na update inanitaka niingize password,nimeingiza namba tofauti mara tatu imegoma,nifanyejeeeeee??????
0 Reactions
1 Replies
956 Views
Waungwana samahan najua hii mada itakua imeshajadiliwa hapa jf ila sikuipata fresh.so naomba mnieleweshe namna ya kuchakachukua startimes AR.
0 Reactions
1 Replies
758 Views
kwa wasiojua ftp inamaanisha file transfer protocal ni nzuri kwa kudownload tofaut na http hizo hapo chini ni link za ftp zenye magame mengi sana na zina advantage kama hizi -hamna kuwait...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Just Click Here
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau ninaomba msaada kwani kuna Office ya Clearing and Fowarding natoa support kwa kazi za IT kuna program ya kukuwezesha kuconect na TRA sasa nataka kujua kama kuna software ambayo naweza kuweka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
habar zenu wanajamvi, nauza simu yangu aina ya samsung, model C3303K touch-screen. Bado ni mpya, chaji kwa matumiz ya kawaida ni siku 4-5, na bei ni 90,000, kuna mazungumzo
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Makamba Kwa upande wake Naibu Waziri wa Wizara ya Sayansi, Teknolojia na Mawasiliano, January Makamba ambaye pia ni Mbunge wa Bumbuli, alisema moja ya mambo ya kufanya katika wizara hiyo ni...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
jamani wale wanopenda kuumiza kichwa, hivi kuchakachua hizi mazaga ya startimes nipate channel kwa bei nafuuu inawezekana kweli, nipenijibu kama inawezekana nianze kazi ya kuumiza kichwa. :spy::spy:
0 Reactions
4 Replies
3K Views
nafahamu mnajua application nyingi za kuchat kwa simu ila i think hii ni nzuri kwa watu wa simu ambazo sio smartphone na wanataka kuchat at the same time kubrowse kutumia njia hii Kwanza uwe...
2 Reactions
21 Replies
4K Views
tukiwa njiani tunaelekea kusini mwa tanzania maeneno ya moro ndani ya range rover hii mara ikapata pancha tairi ya nyuma (mzinga) na gari ikazima hapo hapo....tumefix tairi bau gari haiwaki...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wana Tech Nina Huawei Ideos U8150-D natumia Airtel, tatizo nikua Web browsers hazipigi mzigo inayo kubali ni opera mini, yaani Opera mobile 12 na UC browser zinagoma af opera mobile inasema...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
wakuu nina photocopy machine aina ya CANON MF4450.je kwa biashara inafaa????
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Ukiwa kama mdau muhimu wa mabadliko katika teknolojia, naomba utembelee www.wilguy-jibebe.blogspot.com, na utoe maoni yako. Maoni yako ni muhimu sana, na yatatumika kujenga MUSTABALI WETU.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu Wakubwa. Naomba msaada kwa wataalamu. Vipi naweza ku download You tube video katika simu Nokia C1-01. Ikiwa inawezekana, jee nipitie hatua gani? Thanks.
0 Reactions
1 Replies
822 Views
Simu yangu ya 'hp ipaq 500 series' haikamati network ya simu (hamna huduma yoyote ya simu) line (simcard) inasoma.
0 Reactions
0 Replies
600 Views
Light from an alien "super-Earth" twice the size of our own Earth has been detected by a NASA space telescope for the first time in what astronomers are calling a historic achievement. NASA's...
0 Reactions
0 Replies
782 Views
Napenda kujua jina lake au kama mtu anauza basi tufahamishane
0 Reactions
9 Replies
2K Views
OK bado niko katika marekebisho ya hapa na pale so narusha now mpaka saa kumi kama testing then ikiwa bomba kabisa muda huo wote, nitatoa schedule masaa yapi na yapi nitakuwa narusha LIVE...
5 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom