Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Dell Inspiron mini 1GB Ram, 250GB HDD, Intel Atom 1.66GHzX2, 11.6", 5 Hours Battery Life, 350,000/=Tsh in mint condition. Blackberry Bold 9700 in very good shape 300,000/= Tsh Nokia N97-1 32GB...
0 Reactions
0 Replies
679 Views
Wadau Dadavuzi mpakato yangu inazimika ghafla kila nikiiwasha.Kuna kipindi inaweza kuchukua hata saa nzima bila kuzimika lakini ikianza kila baada ya dakika kumi mpaka kumi na tano inazimika...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
modem yangu ni vodafone K-3565-Z,niliiflash na wakaniwekea software ya 'ZTE-join air' nikawa natumia line ya airtel kama kawa kwa muda mrefu tu,sasa hivi ingawa nina bundle ya mb400 lakini...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
jinsi ya ku-save airtel configuration kwenye cmu...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Mkuu Heshima Mbele, Mosi: Nimejaribu kufanya connection ili kuweza kuingiza information kwenye database kupitia html form using php with a file extension .php (as localhost) bila na mafanikio...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naombeni mnisaidie nawezaje kuinstall program ya kuniwezesha kuacces internet ya simu ya nokia 2700 classic kwenye Pc kwa kutumia USB. kila nikiconnect wananiambia install the program for nokia...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Last night baada ya kurudi nyumbani niliamua kuandaa ubwaba fast kwa kutumia microwave oven(cooking time less than 10 min kikombe kimoja). Bahati mbaya fuse iliungua kila nilipoli switch on. Nili...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
jamani naombeni msaada,natumia simu ya IDEOS(Huawei) with android OS..na ninahitaiji ku'install' adobe flash player...nimejariiiibu nimeshindwa,mwenye maujanja anipatie basi.... Au'revoir
0 Reactions
2 Replies
649 Views
Jana kuna link ya picha ya rihana iliiingia kwenye acc ya facebook na ikasababisha acc yangu aikagoma kufunguka kabisa mpaka sasa,na ile link ya acc yangu ya facebook inaonekana kama hivi:Please...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nikicheza video za mtandaoni hukwamakwama na hata zile za live.Siku natazama mechi ya Simba na Shandy Sudan ilikuwa tabu.Ikiplay dk2 ina buffer dk2.Naombeni msaada juu ya hili ili nami ni enjoy.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
msaada jinsi ya kuunganisha iphone kwenye internet mode i9.
0 Reactions
0 Replies
798 Views
We can't sign you in to windows live messenger (Signing in to Windows Live Messenger Failed because the service is temporarily Unvailabe. Please try again Get more information.......) Haya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa muda mrefu nimekuwa nasafiri kwenda maeneo ambayo siwezi kutumia line ya Vodacom. Mara zote huwa maeneo haya husika kwa wiki moja na zaidi. Na mara nirudipo, huwa nakuta salio katika line...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
naomba kujua hawa watu wenye mablog au website jinsi wanavyoweza kufaidi na Google adsense. Kama mtu ana website yenye google PR 2, PR 3 and PR 4, je anawezaje kugenerate income through google...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimenunua simu IDEOS kwenye promotion ya Tigo sasa nikiweka laini ya simu nyingine inaandika SIM network unlock PIN. Naombeni msaada nifanye nini ili nitumie laini nyingine (unlocking )...
0 Reactions
14 Replies
7K Views
Samahani wandugu wa ndani humu naomba nisaidiwe ni jinsi gani naweza kuiunga simu ya Tecno na internet ya mitandao ya tigo na Airtel........
0 Reactions
3 Replies
2K Views
BUSH ZOTE MBLI ILE YA NUSU MWEZI NA ILE YA DUARA KWA ALINAZO TUWASLIANE MAIL andersonmaneno9@gmail.com
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Shida yangu ndio hii wakuu
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Try this cool tricks-> press alt+ctrl+^(up arrow) to turn your screen upside down, to restore press alt+ctrl+(down arrow), press windows+L for quick logout, if you know more tricks please share.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom