Habari wakuu!
Wadau nimepata dili la kutengeneza vitambulisho na software niliyonayo ni MS Publisher,
Je naweza print IDs za watu tofauti ktk sheet moja kwa kutumia software hiyo?
au kuna softwar...
wanajamii naombeni msaada wenu kwenye kompyuta yangu, ninapoiwasha kompyuta inawaka fresh but inakaa dakika kama 3 na kutokea rangi ya blue na maneno yanayosema
STOP:c000021a {Fatal System...
Wadau habari za majukuku? ndg yenu nina laki saba hapa baada ya kujipinda na kujitutumua hatimaye nataka nimiliki simu ya iphone 4,sasa kwa ambae anaweza kuwa interested na proposal yangu anaweza...
Kumekuwa na tabia ya watu wanapo pokea simu huigeuza na kusikilizia nyuma hii ni hatari.
Mionzi ya mawimbi ya umeme ambayo hugeuzwa kuwa sauti kutoka katika mnara wa simu hupokelewa au huingilia...
Hali zenu wanaJf
naomba kusaidwa kitu, kuna mtu kafungua account ya fb kwa jina langu na friend wake m1 ni mtu wa karibu sana kwangu. mimi sipo fb ila kuna watu wananambia kuwa kuna mtu anatumia...
Wadau, nina tumia line ya tigo katika simu yangu Nokia X2-01 ambayo imetengenezwa china under licence lakini cha ajabu simu hii haikubali ku connect internet inaniambia Link not available...
This episode of our Windows 7 networking series is about how to troubleshoot networking problems. With the help of the network and Internet troubleshooting wizards, anyone can identify the root...
Bluetooth is a big topic on our website as lots of people are searching for a good guide on how to connect their computers with other Bluetooth devices such as mobile phones (smart or not)...
Simu hizi zinasumbua sana kuzi-configure automatically with internet from various service providers.Usihangaike sana,forexample mimi ninatumia TECNO HD 71 na ilizingua kuunga internet...
Today we will show you how to setup a Bluetooth connection in Windows Vista. This can be done either by connecting from an external device (like a mobile phone) to a laptop that has Bluetooth...
Identify and Find Drivers for Unknown Devices in Windows
Device driver installation and maintenance has always been an headache for many Windows users all the while, be it in Windows 95 or...
hapo mwanzo nilikuwa natumia huduma ya boom club airtel sasa tatizo limejitokeza jana baada ya zile siku saba kwisha nikaweka hela ili nimwunganishe mtu yule ninaetaka kumpigia lkn kila nikijaribu...
Tanzanian operator Zantel has begun offering its 3G services in Zanzibar. CCO Ahmed Mokhles said alongside the 3G launch, Zantel will be offering two types of modem. The Huawei E3131 has a speed...
Nawapongeza kampuni ya zantel kwa hatua mlio ifikia mpaka mkatufanya turudishe modem zetu zilizokuwa kabatini. Jamani Raha.Natumia modem CDMA 200 ni bomba
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.