Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
FULL MAUJANJA NJIA ZA KUEPEKA USUMBUFU WA SIMU JARIBU SASA Kama hutaki usumbufu pia unaweza ku forward simu zote na ukapata sms pindi mtu akikupigia *21#0754125125#ok hii ni kwa voda. Kwa zantel...
1 Reactions
30 Replies
4K Views
Help me guys kama kuna anaejua manual settings za airtel kwenye internet anipe...simu ni ideos u8150.
0 Reactions
10 Replies
8K Views
kwenye computer yangu nimeweka Adobe CS4 colection. ADOBE PREMEERE inafunga unapotaka kuimport file inakataa na kutoa ujumbe(CODEC MISSING OR UNAVAILABLE)nimejaribu kuweka CODEC mbali mbali...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wataalam naombeni kama kuna anaeweza kunielekeza namna ya kuunganisha internet kwenye tablet manually. Nilishajaribu ile ya kutuma text mara kadhaa nikajibiwa kuwa device yangu haisapoti...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Habari wakuu, Ninaomba kufahamu faida za ubuntu dhidi Windows zetu; nasikia iko more secured na vingine vingi, naomba kupata ukweli juu ya hili kutoka kwenu wanazuoni.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
habari wakuu! ningependa kujua kama naweza kununua kitu kwenye ebay, then nikalipa through paypal?is the thing relevant to our Primitive Country?
0 Reactions
3 Replies
816 Views
nimekua nikiangalia movies wakuu zinazohusu mambo ya intelejensia na mapigano. kuna kitu hua kinanishangaza leo naomba kujuzwa. inakuaje pale mtu anapigwa risasi ikiwa amevaa bullet proof but...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Tafadhali naombeni msaada kwa wanaofahamu jinsi ya upatikanaji wa hizo decoder za abbudhabi na gharama yake.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hello wadau, leo napenda kuitambulisha kwenu "knowcache" ni blog ya kwanza serious na very professional kwa ajili ya kupromote mambo ya IT hapa Bongo. Unaweza kuitembelea hiyo blog kwa address ya...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Versus: Samsung Galaxy S3 vs Samsung Galaxy S IIBy: Stuff Staff The Galaxy S3 has gone up in screen size to a perfect 4.8in, while maintaining a relatively small body at 133g and 8.6mm thin. The...
0 Reactions
0 Replies
838 Views
wakuu, napenda kununua digital camera ila sijui zipi ni bora zaidi kutokana na kuwepo aina nyingi sokoni.Tafadhari naomba msaada wa kimawazo (Ni kwa ajili ya matumizi ya nyumbani)
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Wadau naombeni msaada wenu mnijuze website ambayo nitapata softwera za nokia n900 maana ovi yao haina kitu;nahitaji softwera kama whatap na social network nyngne Nawasilisha
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Jamani wandugu mimi compyuta yangu inatumia hard disc ya sata huwa kuna wakati ina waka hard disk zinaonekana lakini ukicheki propartzake inaleta 0 ukizima ina fanya check disck inakuwa fresh...
0 Reactions
0 Replies
770 Views
4G
wanajamii ninaswali ambalo kimsingi linahtaj maelezo yakutosha kwa nini WIMAX na LTE huitwa 4G wakat hazikidhi vgezo vya 4G? Aksanten
0 Reactions
0 Replies
846 Views
Wadau naombeni mwenye product key za microsoft proffesional 2010, anibandikie hapa ukutani plz...
0 Reactions
5 Replies
945 Views
Habari wadau,naombeni SETUP ya VGA laptop yangu ni DELL LATITUDE E6500
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanajf naomba msaada wa fundi ambaye anaweza kubadilisha settings za bb ili nipate internet bila kutumia package ya mwezi ya airtel. Yaani niweze kupata internet km ilivyo kwa simu zingine.
0 Reactions
1 Replies
823 Views
Memeory card haifunguki baada ya ku-format, kila nikijaribu naambiwa "enter memory card password" na kila nikijaribu kuweka passwor; password inasema "incorrect password, try again". Je nifanyeje...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
nmenunua line mpya ya airtel, tayari nmeshaisajiri ila nikitaka nnunua internet bundle inakataa? nifanye nini kusolve hili tatizo?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau nina laptop aina yake ni Compaq presarion CQ 60-218EM ninatumia Windows7 ila kila nikiweka Ubuntu au backtrack inakuwa ina crash mpaka nalazimika kuitoa na kurudishia tena Windows7 inatumia...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Back
Top Bottom