natumia simu aina ya sony ericsson C902,imegoma gafla kupokea sms ila nikituma inaenda nina kama mwez na hili tatizo,nimefanya master reset bt where!mwenye kujua jins ya kutatua,maana mtu akituma...
Habari Wakuu
Kuna hii technology yaitwa iCloud na sasa imekuwa kwa kazi ni uwezo wa kuhifadhi habari zako kwenye anga.
Tunaweza kufahamishana how does it work...Kwa mfano nimedownload movie...
Wakuu sina shaka wote wazima.
Ni juzi tu nimetoka kununua min laptot aina ya samsung hapa mlimani city. Nimeitumia kwa siku moja na kesho yake nilipoiwasha inanipa msg, boot mgr is compressed...
Ile simu iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu sana imezinduliwa jana hapa London. Kwa maelezo zaidi gonga hapa Galaxy SIII: Samsung Reveals Next Generation Smartphone Rival To Apple iPhone | Technology...
Google SSL: SSL stands for Secure Socket Layer
This is the new and in beta feature from Google. Google SSL is secure connection between your computer and Google server. Any third party can't...
Wana jamvi sikielewi hiki king'amuz cha startimes zile non-conax chanel zinaonyesha vizuri lkn hizi zao sasa kila saa zinakwama kwama sielewi tatizo ni mitambo au kwa7bu nakaa nje ya mji lkn..non...
guys mie nimenunua lap DELL INPIRON 1525.......lakini kwa nyuma kule ukitoa battery kuna sehemu pakuweka line ya simu..., lakini sijui if hiyo sehemu inatumika vipi sasa ?
Came across this today and thought you might be interested
Selenium Tutorial 1 Selenium IDE Testing RC Selenium Web Driver GRID Selenium Framework Training - YouTube
Selenium: A tool to test web...
Ok nikwamba kwa taarifa ambazo tumepata hv punde ni kwamba tumekumbwa na msiba. Sasa bdo haijajulikana fasaha ni kwa muda tu au ndo moja kwa moja.. Ni kwamba the good news ni kwamba kuna upenyo...
hope mko poa kuna kitu nataka tushirikishane ivi kuna haja ya kujifanya mjuaji wakati aujui nasema hilo sababu kuna jamaa humu ndani alitoa taarifa kuwa anataka elfu tano ndo atoe ujanja wa...
Wanajamii naomba kuwasilisha changamoto inayonikabili kama mteja wa internet wa kampuni ya Tigo (Blackberry internet service). Ni zaidi wiki moja sasa huduma yao imekuwa si ya kuridhisha kabisa...
Waungwana Habari Zenu.
Msaada kidogo...Natumia Laptop ya HP 620. Kila niki-connect na waya wa LAN kwenye LAN port kale kataa kana blink lakini sipati Internet. Nifanyeje?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.