wakuu,
BB yangu Bold 9000 iligoma kuwaka yenyewe tu baada ya kuwa nimeicharge ikiwa nimeizima. Baada ya kutoa betry na kurudishia ilikuwa ikiblink tu bila kuendelea, nilifikiri ni tatizo la...
jamani avast antivirus ime- installed BUT, BUT, haifanyi chochote, no updating at all... no uninstalling
yani nimejaribu ku-unistall nimeshindwa.
then button ya capslock iz very slow. laptop...
Nadhani kila kompyuta uwa kama haijabandikwa lebo Pentium Inside, core2, duo, M etc basi itakuwa ina lebo ya AMD, AMD premium etc!
wataalamu naomba mnipe tofauti kati ya pentium na amd, faida...
Wakuu natumia nokia 2700, kila nikitaka kudownload application inaniandikia "no certificate", msaada wenu nifanyeje? Kwani nimeshindwa hata ku-upgrade operamin
Wakuu wa jukwaa hili
Natumia bold 9700 na nataka ku upgrade os kwani hii ninayotumia inarun os 5.
Mie kila nikijaribu upgrade kwenye computer huwa inadownload file ikifika mb 400 inakata.
Kama...
Jamani wana JF kamakuna mtu yeyote anayefaham code za fifa 2008 games anitumie cos kila nikiingiza naitajika kuweka code na sina, naombeni msaada kwa hilo.:A S 2152::A S 2152:
Recently nimedownload ubuntu11(thanx to proxy hack) nimecreate bootable usb, then nkajaribu kuboot kwenye mashine ya dell inspiron m5010 cha ajabu imeanza kidogo kuinstall kisha imeandika...
Nahitji kujua iwapo kuna uwezekano wa kuongeza FTA channels kwenye decorders za DSTV. Na kama inawezekana, je, muda wa kifurushi (packagea) ukiisha, nazo zinapotea?
Swali la pili, je,kuna...
Wanadai kuwa wao ni bora kuliko BBM, I won't confirm. Wajaribu hookt hapa http://hookt.com
Kwa kifupi ni instant messaging app, ni cross platform i.e. unaweza kutumia kwa BB, iOs, Android n.k...
Habar wana jf naombeni msaada nataka kununua desk top used nifahamisheni yafuatayo maana mi siyo mtaalamu kabisg wa mambo haya
1.ni mambo gani ya juangalia ili upate mashine nzuri_mambo ya ram,hd...
Wakuu habari zenu, naombeni maelekezo utaratibu wa kuunganishiwa chanels za super sports kwani mi naish kijijini nataka kufanya biasha ya kuonesha michezo
ahsanteni
wadau naomba msaada wenu, nina hard disk ya laptop ninayoitumia kama external hard disk drive ambayo ina kila kitu changu (250 gb full):A S-confused1:. imenishtua inapogoma kufunguka japo kwenye...
baada ya kupita hapa na pale mekutana na hii site wanakupa hadi dk 25 kupiga simu bure
Fata step hizi
1) open link yao (ipo chini) then register account
2) utatumiwa msg 2 kwenye simu yako ya...
Wadau hebu mnisaidie, kwanza nillinunua zantel line ya gsm, baada ya kuweka sh 500, ikawa inaconnect afu nikifungua page inaonesha kama hamna internet access. yaani page inafunguka na kuonesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.