Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Nina simu aina ya Blackberry torch 9800. Nina wiki mbili toka niinunue. Naambiwa simu za aina hii zinaonesha ramani ya mahali ulipo, ukiwa kwenye gari inakupa speed ambayo dreva anatembea na...
0 Reactions
1 Replies
189 Views
Natafuta fundi wa ps3, CD-ROM yake inagoma kuingiza cd. Mwenye ujuzi au anayefahamu fundi naomba anitaarifu.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wakuu ninasimu aina ya nokia 6500c,system yake ya charge imeunganika na camera,sasa vyote vimekufa,nimehangaika kwa mafundi kadhaa lakini nimekosa matumaini,naamini kwenye jukwaa hili nitapata...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wana jamvi sikielewi hiki king'amuz cha startimes zile nön-conax chanel zinaonyesha vizuri lkn hizi zao sasa kila saa zinakwama kwama sielewi tatizo ni mitambo au kwa7bu nakaa nje ya mji lkn..non...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Free Web Hosting with no advertising, there is no catch, so what you see is what you get. Here is our offer to you: 1500 MB Disk Space 100,000 MB Bandwidth Free Subdomain or Your Own Domain...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu, mwenye kuwa na vitu hivyo hapo juu kwa ajili ya IBM THINKPAD T43 na T42 tafadhali tuwasialiane tufanye biashara. Thanx
0 Reactions
0 Replies
724 Views
Wadau naomba mnisaidie PIN za kuniwezesha kuadd new channels on Eurostar dish coz nimekua nikipoteza hela bure kwa kuwaleta mafundi!
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Kama kunadirect link nitashukuru zaidi na ni season 7
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hi Wakuu nimenunua black berry 9630 ila kuna tatizo moja nikiweka namba zile za kuiricharge yenyewe inapiga mpaka dakika hii sijaweka vocha tangia ninunue yaaani ni mballaa kwa anyefahamu anisaidie
0 Reactions
2 Replies
873 Views
samahan wadau kwa topic hapo juu nipo mbali na ving'amuzi so nawezaje kuangalia mpira kupitia simu yangu ya nokia
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ninatumia ttcl broad band na ninahitaji kuichakachua ili nipate net buree nifanyeje naomba msaada wakuu modem ninayotumia ni HUAWEI Smarttax MT 880. Msaada tafadhali
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ndugu wapendwa naombeni msaada,baada ya ku'convert' mafaili yenye extension .flv na .wmv to mpg ili yaweze kuplay into my video player tatizo linakuja katika kuburn cd using either nero au...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Viewsonic viewpad 10E Tablet PC (IPAD) 9.7" Touchscreeen Webcam Mini HDMI, Up to 32GB via Micro SD WiFi + Bluetooth OS - ANDROID Gingerbread Tzs 620,000/- Brand New.
0 Reactions
2 Replies
691 Views
Habari wana jf.nawaomba mwenye kuifahamu simu ya kichina(moderate price),inayo weza kusurf internet i.e operamin,google,uc brouser.etc.anijuze na anitajie jina la hiyo simu.maana nimeiona TECNO...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Jaman wale wadau wa ku2mia maprox ye2 yale vp hi prox ya circle of brain washa iblock nini? Mana saiv kwang haipigi mzgo wala nini na ilikuw pouwa sana
0 Reactions
28 Replies
6K Views
Wanajamii naomba msaada wenu juu ya laptop yangu aina ya TOSHIBA Satellite A200 Series. Imeacha ghafla Imeacha ghafla kuonesha icon ya CD/DVD WR. Kwa hiyo, haisomi wala kuditect kwamba CD/DVD WR...
0 Reactions
1 Replies
977 Views
Tuma sms bure za ndani na zakimataifa kwa kutumia biNu, download biNu version 3.2.4 kwenye simu yako.
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Wakuu za mida, aisee hii ilikuwa posted kwenye jokes, lakini nadhani 'terminologies' siyo understood kama ambavyo itakua huku. Haya ni mazungumzo ambayo end-user alikuwa anafanya na mtaalamu wa...
0 Reactions
0 Replies
713 Views
Msaada wakuu nina HTC chacha A810e imezimika baada ya kudownload new version ya facebook ya android nimejaribu kutoa bettery nakurudisha imegoma kabisa lakini taa ya charge inawaka nikichomeka...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
wadau nilikua natumia U-torrent bt saivi inanizingua naomba suggestion ya Torrent software ambayo iko poa kwa kudownload
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom