Habari za humu wana jamii forum? Naomba mnieleweshe ni vifaa vipi vinavyohitajika ili kuweza ku flash simu za Nokia. Nasikia tu kuwa sijui kuna box, sasa hilo box ni kitu gani? Na je vifaa hivyo...
wadau me matumia nokia 5130 xprss msk,then kila nnapodownl antivirus inakuw katika fomat ya SIS,na inakataa kufunguka et file format unknwn.plz pigen vichw hapa mwenzenu npone!
Habari MwanaJF,Nikifungua Internet Explorer,Mozira Firefox n.k huwa zinakataa kunipa Internet ila leo nimegundua ktk Program hizi kuna mahali ambapo kuna vinara vipo vitatu(3) vinaashiriwa kwa...
Wakuu kwa wale wataalam na wenye maujanja na maujuzi ya kuchakachua modem nilikuwa naomba msaada wa kuichakachua hii moderm ya zantel HUAWEI CDMA
model EC 122 ili niweze itumia na line...
Wakuu nina hitaji fundi machine yangu hp kioo kimepata kreki hvyo akioneshi fresh nataka nikibadilishe kuna mtu anayeweza kufix hlo tatizo na screen nitapata wapi na kwa shi ngapi mwenye kujua...
TAHADHARI KWA WATUMIAJI SIMU
ZA MKONONI:
Simu zinatumia Mionzi ya
MICROWAVE ambayo huwezesha
kuunganisha simu yako kwenda
kwenye Mnara na mnara
huunganisha Simu yako na
Mitambo
ya Mtandao...
Wadau nikitumia proxies za voda free internet kuna websites zenye streaming za video zinagoma ku-play na kuniambia up-date your flash player or enable java. Ila zote zinakuwa updated na enabled...
Habari zenu waungwana... tunatoa ofa ya kutengeneza website kwa ajili ya organization au kampuni bila gharama yoyote ila kwa makubaliano kuwa itakapokamilika itabidi ugharamie gharama kwa ajili...
Google wameintroduce Google drive. 5GB za bure kuhifadhi mafaili yako mtandaoni. Hii itakurahisishia kuhifadhi, kubackup na kushea mafaili yako mtandaoni. Hii ni huduma mbadala ya dropbox. Kwa...
Wakuu naomba msaada wenu, kupata DVR Kama hiyo au tofauti ya kudumu na pia bei nzuri nina haraka kidogo na baadae ntapenda nipat camera zake, au mtu anayeuza CCTV system complete kwa bei nzzuri...
Wadau wanaoutumia voda free proxies kwa kutumia premium link generator ya Link Premium Generator | Generate Premium Links katika ku-download naona inanizingua.
Je, kuna njia nyingine ya...
Is there anybody looking for a schoolmanagement system which handles student,teacher,class , curriculum data and even total school accounts, if so please contact me here or on 0754261667...
Unaweza kubrowse kupitia proxy maana wanatublock tusio marekani
http://www.uswebproxy.com/index.php?q=aHR0cHM6Ly9wbGF5Lmdvb2dsZS5jb20vc3RvcmUvZGV2aWNlcy9kZXRhaWxzP2lkPWdhbGF4eV9uZXh1c19oc3Bh
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.