Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Jaman naombeni mnijuze,hivi nin maana ya proxy,na ni nini matumizi yake??ni neno ninaloliona kila siku halafu silielewi kabisa,shukrani kwa msaada wenu.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu, Naomba kujuzwa na wataalam wa magari kati ya gari zenye injini ya I4 cylinder na V6 cylinder. Je ni kweli gari zenye injini ya v6 zinatumia mafuta mengi kuliko I4? Mfano nina gari lenye...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
..xor jaman nahtaj msaada fasta... nataka kununua smu kat ya hyo IDEOS au N97 naomba msaada wenu ipi n nouma zaid kulko nyngne na y ?
0 Reactions
43 Replies
4K Views
Zuku tv nawashauri mjiunge na Abu Dhabi Sport ili muweze kuteka soko la Tz...channel zenu nzur jaribu kuboresha za michezo!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wakuu nawaombeni mwenye key za document to go za ideos anisaidie
0 Reactions
1 Replies
998 Views
Ninampango wa kuuza bidhaa mbali za electronics kama vile simu za mikononi, laptop, flash disk, camera n.k. Ili niweze kufanikisha hilo ninaombeni msaada wenu kwa yeyote mwenye ufahamu juu ya soko...
0 Reactions
0 Replies
871 Views
kuna jamaa yangu mmoja anatoa huduma ya cable mkoani,anasema amesoma gazeti la leo juu ya mfumo wa digitali kwamba ataendelea kula bata,sijui hii makala inasemaje? nipo mkoani,naomba waliopitia...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naomba mwenye utaalamu na java programming language aniandikie code ambayo ita jumlisha, toa, zidisha na kugawanya kwa kutumia applet viewer concept. Please help!
0 Reactions
2 Replies
884 Views
Nokia c5 inawaka baada ya dakika kama moja inazima, nisaidieni ni fanyeje
0 Reactions
1 Replies
706 Views
wadau naomba kuuliza! 500Gb hdd, Ram 3 yaweza wekwa kwa Processor ya 1.8Ghz? na tofauti ya Dual core na I core ni nini haswa?
0 Reactions
0 Replies
715 Views
jamani naombeni msaada kwa yeyote anayejua jinsi ya kuchakachua (itumie line zaidi ya moja) modem ya airtel coz gharama zao za net zimepanda sana.
0 Reactions
1 Replies
982 Views
Kampuni mpya ya simu za mkononi ya MYCELL inayomilikiwa na mfanyabiashara wa kitanzania yusuf manji, inatarajia kuanza kutoa huduma zake katika kipindi cha siku 15 zijazo kuanzia jana...
0 Reactions
30 Replies
7K Views
Kwenu Wanajamvi Salamu ama baada ya salamu kwa wale walio mbali na upeo wa macho yangu Dhumuni la ujumbe huu Wanajamvi nimeona nianzishe hii thread kwa wale wenye movies nzuri na zenye quality...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu ninatumia mita ya umeme ya digital, lakini katika siku za karibuni imekuwa na tatizo. Imekuwa inahesabu ikifika mahali inarudi kwenye 000.00 units then inaanza 001.00 na kuendelea. Imekuwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Simu imetumika ila inafanyakazi vizuri.Bei ni Tsh 600000/.(laki sita tuu) Kama unahitaji,Ni PM kupata mawasiliano ili kufanya biashara.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamani wana jamii, Nimetokea kuona kupitia kwa marafiki zangu wa uganda., wanaoshiriki kwenye grand challenges za Canada. walinitaarifu niwapigie kura kwenye aplication zao.. baada ya kuangalia...
0 Reactions
0 Replies
900 Views
tafadhari tusaidiane kwa hili....asante
0 Reactions
0 Replies
704 Views
msaada jaman wa ku-unlock hiyo modem hapo juu maana hawa airtel kila kukicha gharama zinapanda! Kwa anayejua tusaidiane
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau naombeni Key za Photoshine Photo Edit Na Magic Photo Edit
0 Reactions
0 Replies
692 Views
Nimedownload bbm kwenye cm yangu lakini cjui kuchat wala kufanya chochote,,,,, zaidi naishia tu kwenye facebook..... Naomba msaada maanacjawahi kuchart wala kutumia bbm......tafadhali sana nisaidieni
0 Reactions
2 Replies
943 Views
Back
Top Bottom